Mwenyekiti wa Chama wa chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema Freeman Mbowe ameungana na wanachama kuwasindikiza wagombea wa vijiji vinne vinavyounda kata ya Machame Narumu, Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro
Kwa kiasi kikubwa, Mbowe pia ni tatizo kwa suala zima la ukuaji wa Demokrasia, haki na usawa kwa upande wa CHADEMA. Erythrocyte wewe binafsi huenda unaweza kushindwa kunielewa kwa Sasa, lakini pole pole naamini utakuja kunielewa hapo baadaye.
Kwa hiyo maana yako ni kuwa, hata kwenye hatua zinazo fuatia baada ya wanaoibiwa kura zao kukataa ujinga huo, wewe bado utakuwa hupendi kushiriki kwenye hizo hatua zinazo fuatia?