Freeman Mbowe, pamoja na vitu vingine, pia atamrithisha James Mbowe jimbo la Hai, James atamba anasubiri kuapishwa

Freeman Mbowe, pamoja na vitu vingine, pia atamrithisha James Mbowe jimbo la Hai, James atamba anasubiri kuapishwa

Kuna kijana aliwahi niuliza kama nina mipango ya kugombea ubunge au urais, nikamjibu hapana.
Nikamuuliza yeye ana mpango huo,akajibu ndio.
Nikamuuliza atawafanyia nini wapiga kura wake akipata huo ubunge,akanijibu kusaidia kupaza sauti juu ya matatizo waliyonayo.
Nikamuuliza tena atafanya nini atakapopata ubunge,akasema atahakikisha anawajengea wazazi wake nyumba ya maana ,ananunua gari kali na kuwapeleka watoto wake shule nzuri.
Nikamwambia kati yangu mimi na yeye nani ana nafasi kubwa sana ya kuwa mbunge na kuwasaidia wananchi,akanijibu mimi.
Sababu gani,akaniambia mimi nimejitosheleza kwa kila kitu,hivyo sitakuwa bungeni kwa ajili ya mshahara,posho na marupurupu ya ubunge,hivyo nitawawakilisha vyema wananchi.

Nilichogundua ni masikini wachache sana sana ambao hawafikirii kujinufaisha wao wenyewe binafsi na familia zao kabla ya wananchi.

Umasikini ni laana, laana ambayo inatufanya tuwe wabinafsi.

Viongozi wote wanaofisadi ni muendelezo wa laana ya umasikini katika familia,jamii na koo zao.

Tupige vita laana ya umasikini kwa nguvu sana lakini tuhakikishe vita hiyo haituletei laana nyinginezo.
 
Angalau Ridhiwani ana kipaji cha siasa na historia yake inaonyesha wazi babake alikuwa anamwandaa. Riz kaanzia chipukizi UVCCM na shule hadi chuo kasoma za serikali.

Wewe kumbe hajui chochote kabisa. Waulize walio karibu na hiyo familia kabla ya kuongea usiyoyajua.

Babake alikuwa akilalamika sana juu ya tabia za wanawe za ajabu ajabu ajabu, baba yame alikjwa anawaambia mpaka marafiki zake kuwa wanawe haoni hata wa kupewa ubunge. Huyo amepanda mpaka hapo alipo siyo kwa kuandaliwa au kwa uwezo bali ni kwa viongozi waliofuata baada ya baba yake, kulipa fadhila kwa baba yake.
 
Ni yupi kwanza hapo?
Huyo tumbo kushoto au kimbaumbau kulia?
Halafu mbona wamechoka kabla ya Baba yao
 
Back
Top Bottom