Alishapitishwa na SACCOS husika?Kwanini wewe umezuiwa kugombea? ni haki yake ya kikatiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishapitishwa na SACCOS husika?Kwanini wewe umezuiwa kugombea? ni haki yake ya kikatiba
Mumeo naye agombeeAlishapitishwa na SACCOS husika?
Fuatilia.Kakaa sana Ulaya ya wapi hiyo ?au machame ndio ulaya yenyewe?
Kupitia SACCOS ya mzee Mbowe?Mumeo naye agombee
hakuna kitu mkuuFuatilia.
Sio mtoto wake ni mtoto wa Kaka yake ambaye alishafarikiMzee mbowe ndio atagombea Urais kwa kuwa hataka awe Rais wa JMT na anajua hilo ameona asipoteze kote,ubunge anamwachie mwanae.
Sio mtoto wake ni mtoto wa Kaka yake ambaye alishafariki
Pole kwake sana kwa kufiwa na Baba.Mzee atakuwa amemdanganya sana huyu kijana aiseeSio mtoto wake ni mtoto wa Kaka yake ambaye alishafariki
Ni kama mwanae tu. Wewe kaka yako akifariki utamchukulia mtoto wake kama mtu baki au mwanao?Sio mtoto wake ni mtoto wa Kaka yake ambaye alishafariki
Angalau Ridhiwani ana kipaji cha siasa na historia yake inaonyesha wazi babake alikuwa anamwandaa. Riz kaanzia chipukizi UVCCM na shule hadi chuo kasoma za serikali.
Hata mbunge wa dodoma mjini ni urithi wa jimbo la babake na kama kuna mtu anajisikia mavi kuuma nae atafute jimbo amrithishe mwanae NYAMBAAAAAFU!Shida iko wapi Kama Ridhiwan ni mbunge wa jimbo aliloacha baba yake.
Pinda mbona kamrithisha mtoto wake? Ridhiwani karthi Chalinze, orodha ni ndefu sanaTofauti ya CCM na Chadema ni ndogo sana, wanafanana katika mengi, bora tubaki na zimwi tulijualo, halituli tukakwisha.
View attachment 3051518
Inampambania mama yako kule kijijini plus Wajomba wazako na Mashangazi zakoHalafu wale msukule wanaamini kuwa CDM inawapambania 😭😭😭
Pinda pia kamrithisisha kijana wakeHata mbunge wa dodoma mjini ni urithi wa jimbo la babake na kama kuna mtu anajisikia mavi kuuma nae atafute jimbo amrithishe mwanae NYAMBAAAAAFU!