Freeman Mbowe, pamoja na vitu vingine, pia atamrithisha James Mbowe jimbo la Hai, James atamba anasubiri kuapishwa

Angalau Ridhiwani ana kipaji cha siasa na historia yake inaonyesha wazi babake alikuwa anamwandaa. Riz kaanzia chipukizi UVCCM na shule hadi chuo kasoma za serikali.
Hivi wewe unamjua James mbowe vizuri dogo yupo vizuri hata kumshinda baba yake yule ni kiongozi hata ukimwaangalia haiba yake fatilia kampeni zake 2020 jimbo la moshi mjini alikogonbea kijana yuko vema
 
Labda kama kuna James Mbowe toleo lingine. Ila huyu ambaye wote tunamjua hakuna kitu. Ni sifuri.
 
Wewe kumbe hajui chochote kabisa. Waulize walio karibu na hiyo familia kabla ya kuongea usiyoyajua.

Babake alikuwa akilalamika sana juu ya tabia za wanawe za ajabu ajabu ajabu, baba yame alikjwa anawaambia mpaka marafiki zake kuwa wanawe haoni hata wa kupewa ubunge. Huyo amepanda mpaka hapo alipo siyo kwa kuandaliwa au kwa uwezo bali ni kwa viongozi waliofuata baada ya baba yake, kulipa fadhila kwa baba yake.
Ridhiwani nimesoma nae Mkwawa na alikuwa mtu poa tu kabla ya kwenda UDSM. Watoto wa JK wenye matatizo ni wengine ila sio Riz.
 
Hivi wewe unamjua James mbowe vizuri dogo yupo vizuri hata kumshinda baba yake yule ni kiongozi hata ukimwaangalia haiba yake fatilia kampeni zake 2020 jimbo la moshi mjini alikogonbea kijana yuko vema
Tulitee CV yake hapa na si kusifia kijana anaishi kwa mgongo wa baba yake.Ninao uhakika usiotiliwa shaka kuwa huyu kidato cha sita hakufika
 
Maelezo yako yana ukweli lakini hapo kwenye bora zimwi likujualo umechemka sana, ni mindsate za wana CCM wengi amabo wamechoka na CCM lakini wanaendelea kuikumbatia.

CCM must go, Inatosha, 60 years wamefali hawawezi kubadilisha tena kitu, alau wengine tunaweza ishi kwa matmaini.
 
Tuanzisheni chama mmbadala kwa maana cdm haikisi sura halisi ya Tanzania
 
Tulitee CV yake hapa na si kusifia kijana anaishi kwa mgongo wa baba yake.Ninao uhakika usiotiliwa shaka kuwa huyu kidato cha sita hakufika
Sheria za uchaguzi Tanzania zinamtaka mgombea ajuwe kusoma na kuandika mfano msukuma kule bungeni ni darasa la saba mbona anatoa michango vizuri kijana watu yupo vizuri na wewe unataka cv hapa ndiyo tume ya uchanguzi

Back
Top Bottom