BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Ridhiwani pia, Bado yule yule Pinda JuniourVipi kuhusu Mwinyi, Salma, Salim Turky, Godfrey Mgimwa, Fred Lowassa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ridhiwani pia, Bado yule yule Pinda JuniourVipi kuhusu Mwinyi, Salma, Salim Turky, Godfrey Mgimwa, Fred Lowassa?
Mbona nyie UWT mpo fresh tu why na wewe usigombee?Kupitia SACCOS ya mzee Mbowe?
Hivi wewe unamjua James mbowe vizuri dogo yupo vizuri hata kumshinda baba yake yule ni kiongozi hata ukimwaangalia haiba yake fatilia kampeni zake 2020 jimbo la moshi mjini alikogonbea kijana yuko vemaAngalau Ridhiwani ana kipaji cha siasa na historia yake inaonyesha wazi babake alikuwa anamwandaa. Riz kaanzia chipukizi UVCCM na shule hadi chuo kasoma za serikali.
Wameweza kuishi kwa amani na utulivu na si kutegemea laghai Mzee MboweInampambania mama yako kule kijijini plus Wajomba wazako na Mashangazi zako
Labda kama kuna James Mbowe toleo lingine. Ila huyu ambaye wote tunamjua hakuna kitu. Ni sifuri.Hivi wewe unamjua James mbowe vizuri dogo yupo vizuri hata kumshinda baba yake yule ni kiongozi hata ukimwaangalia haiba yake fatilia kampeni zake 2020 jimbo la moshi mjini alikogonbea kijana yuko vema
Ridhiwani nimesoma nae Mkwawa na alikuwa mtu poa tu kabla ya kwenda UDSM. Watoto wa JK wenye matatizo ni wengine ila sio Riz.Wewe kumbe hajui chochote kabisa. Waulize walio karibu na hiyo familia kabla ya kuongea usiyoyajua.
Babake alikuwa akilalamika sana juu ya tabia za wanawe za ajabu ajabu ajabu, baba yame alikjwa anawaambia mpaka marafiki zake kuwa wanawe haoni hata wa kupewa ubunge. Huyo amepanda mpaka hapo alipo siyo kwa kuandaliwa au kwa uwezo bali ni kwa viongozi waliofuata baada ya baba yake, kulipa fadhila kwa baba yake.
Tulitee CV yake hapa na si kusifia kijana anaishi kwa mgongo wa baba yake.Ninao uhakika usiotiliwa shaka kuwa huyu kidato cha sita hakufikaHivi wewe unamjua James mbowe vizuri dogo yupo vizuri hata kumshinda baba yake yule ni kiongozi hata ukimwaangalia haiba yake fatilia kampeni zake 2020 jimbo la moshi mjini alikogonbea kijana yuko vema
Umri utakapofika ni lazima ,vipa wale wa mama wa uvico 19 mmefikishana wapi ?hivi mzee Lissu aliesema kuwa cdm kuna hela chafu ni lini mtamjadili kama familia ya mzee Mbowe?Mbona nyie UWT mpo fresh tu why na wewe usigombee?
Kwa hiyo na mzee Mbowe ndio ameamua kuiga sio?Pinda pia kamrithisisha kijana wake
Siasa ni mambo yay kurithishana tu!
Basi twende na ACT wazalendo, hawana hizi mambo za Chadema na CCM
Tuanzisheni chama mmbadala kwa maana cdm haikisi sura halisi ya TanzaniaMaelezo yako yana ukweli lakini hapo kwenye bora zimwi likujualo umechemka sana, ni mindsate za wana CCM wengi amabo wamechoka na CCM lakini wanaendelea kuikumbatia.
CCM must go, Inatosha, 60 years wamefali hawawezi kubadilisha tena kitu, alau wengine tunaweza ishi kwa matmaini.
Unajua maana ya Democrasia? Haya mambo yako hadi Ulaya, Marekani na Asia ambako Democrasia iko juu sanaBasi twende na ACT wazalendo, hawana hizi mambo za Chadema na CCM
Sheria za uchaguzi Tanzania zinamtaka mgombea ajuwe kusoma na kuandika mfano msukuma kule bungeni ni darasa la saba mbona anatoa michango vizuri kijana watu yupo vizuri na wewe unataka cv hapa ndiyo tume ya uchanguziTulitee CV yake hapa na si kusifia kijana anaishi kwa mgongo wa baba yake.Ninao uhakika usiotiliwa shaka kuwa huyu kidato cha sita hakufika
Tulitee CV yake hapa na si kusifia kijana anaishi kwa mgongo wa baba yake.Ninao uhakika usiotiliwa shaka kuwa huyu kidato cha sita hakufika
Tuambie usifuri wake hapaLabda kama kuna James Mbowe toleo lingine. Ila huyu ambaye wote tunamjua hakuna kitu. Ni sifuri.
Ridhiwani kikwete amerithi jimbo kutoka kwa nani?Tofauti ya CCM na Chadema ni ndogo sana, wanafanana katika mengi, bora tubaki na zimwi tulijualo, halituli tukakwisha.
View attachment 3051518