Hata mwenyewe hajui kaandika nini😅Kichwa cha habari na content mbona tofauti
Kipindi Lissu amepigwa risasi kauli kama hii ilitolewa.Najua hiu utakuwa ni ushauri wa Lissu alierejea leo ambao ni ushauri sahihi kabisa.
Wafanye na uchunguzi wa kwa nini yeye ana uenyekiti wa kifalme miaka nenda rudi yeye ni mwenyekiti"Tumekaa kama viongozi tumeshauriana kwa kina, kama kweli tume ya kimahakama ya kijaji, kwa mazingira ya nchi yetu ilivyo, kwa namna tulivyoliona bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linapuuza utekaji, kwa namna ambavyo tumeiona mahakama kuu inapuuzs utekaji, hivi kweli hiyo rai ya kumtaka Rais aunde tume huru ya kimahakama na watu wenyewe ni haohao wa mifumo tutakuwa salama?"
"Sasa baada ya mashauriano ya viongozi wa ngazi zote hizi, tumekubaliana, watu pekee ambao tuna imani wanaweza kuja kufanya uchunguzi wa haki katika nchi yetu, iwe lazima ni chombo cha kimataifa cha uchunguzi, na kipekee tumependekeza chombo kinachoitwa Scotland Yard kutoka jeshi la polisi la Uingereza kuja kufanya uchunguzi huu.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano Septemba 11, 2024 Makao Makuu ya chama hicho, jijini Dar es Salaam.
PIA SOMA
- News Alert: - Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho
Hizi Drama alisema samiaUpuuzi
Yanakuwasha?Upuuzi
hakuna haja,"Tumekaa kama viongozi tumeshauriana kwa kina, kama kweli tume ya kimahakama ya kijaji, kwa mazingira ya nchi yetu ilivyo, kwa namna tulivyoliona bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linapuuza utekaji, kwa namna ambavyo tumeiona mahakama kuu inapuuzs utekaji, hivi kweli hiyo rai ya kumtaka Rais aunde tume huru ya kimahakama na watu wenyewe ni haohao wa mifumo tutakuwa salama?"
"Sasa baada ya mashauriano ya viongozi wa ngazi zote hizi, tumekubaliana, watu pekee ambao tuna imani wanaweza kuja kufanya uchunguzi wa haki katika nchi yetu, iwe lazima ni chombo cha kimataifa cha uchunguzi, na kipekee tumependekeza chombo kinachoitwa Scotland Yard kutoka jeshi la polisi la Uingereza kuja kufanya uchunguzi huu.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano Septemba 11, 2024 Makao Makuu ya chama hicho, jijini Dar es Salaam.
PIA SOMA
- News Alert: - Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho
Kile wananchi wanataka au Chadema wanataka?Hakuna lisilowezekana naamini, jambo la kufanya ni kuwalazimisha serikali mpaka wafanye kile wananchi wanataka.
Kutangazwa ni hatua ya kwanza, kitachofuata ili kulazimisha utekelezaji wa hilo ndio muhimu zaidi.
Mkumbuke haya mambo hayaji tu kama kupokea mkate kwenye sahani, lazima yapiganiwe, mkiitwa muitike, sio kulalamika tu hapa JF.
Wa Tz bado sana, hatuna uthubutu.Hakuna lisilowezekana naamini, jambo la kufanya ni kuwalazimisha serikali mpaka wafanye kile wananchi wanataka.
Kutangazwa ni hatua ya kwanza, kitachofuata ili kulazimisha utekelezaji wa hilo ndio muhimu zaidi.
Mkumbuke haya mambo hayaji tu kama kupokea mkate kwenye sahani, lazima yapiganiwe, mkiitwa muitike, sio kulalamika tu hapa JF.
CHADEMA ni sehemu ya wananchi pia.Kile wananchi wanataka au Chadema wanataka?
Hongereni, kumbe wakiongea Chadema n sawa na wananchi kuongea 😂CHADEMA ni sehemu ya wananchi pia.