Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nothing is permanent.Hongereni, kumbe wakiongea Chadema n sawa na wananchi kuongea 😂
Mfumo utakubali?"Sasa baada ya mashauriano ya viongozi wa ngazi zote hizi, tumekubaliana, watu pekee ambao tuna imani wanaweza kuja kufanya uchunguzi wa haki katika nchi yetu, iwe lazima ni chombo cha kimataifa cha uchunguzi, na kipekee tumependekeza chombo kinachoitwa Scotland Yard kutoka jeshi la polisi la Uingereza kuja kufanya uchunguzi huu.
Namashaka na kiwango chako cha elimuDuh kwahy kumbe jeshi la Uingereza ndilo linalofanya utekaji nchini 😭
Anyway, hilo jeshi litaletwa na nani hapa nchini ili kufanya huo uchunguzi?
Kabisa.Namashaka na kiwango chako cha elimu
Inasikitisha sana mkuuNamashaka na kiwango chako cha elimu
We unachopinga ni kipi?hakuna haja,
na wala hakuna sababu hata moja kufikia hatua hiyo ya aibu kwa hisia potofu tu za kisiasa kutoka kwa wanasiasa wa upinzani waliofilisika hoja, dhidi kwa taasisi imara na kisasa sana za ulinzi Tanzania na zinazo aminika zaidi mataifa mbalimbali duniani na ulimwengu mzima...
hakuna taifa la lolote la ng'ambo linaloweza kukubali kuhadaiwa na mihemko ya mtua aliekosa uhalali wa uongozi na king"ang'anizi kwa kubadili katiba ndani ya taasisi yake binafsi anayoingoza ili abaki madarakani,
lakini pia hakuna Taifa ambalo linaweza kupoteza muda kumskiliza na kumuamini mtu ambae, kwa masamaha wa raisi alisamehewa uhalifu wa kigaidi![]()
Hili bumunda lingine linaona limetoa hoja.Sometimes wapinzani hua wanaongea vitu havimake sense.
Ni taifa gani sovereignty linaalika nchi nyingine kufanya uchunguzi kwenye nchi yake?
Scotland yard wakisema wahusika ni mtu huyu, nani anatakiwa kumuwajibisha huyo mtu? Scotland yard au mahakama za Tanzania?
Hii drama waliwahi kuiraise muda fulani ikafifia naona wameanza nayo upya
Kwahiyo yeye kuwa Mwenyekiti ndo sababu ya matukio ya mauwaji, utekaji, utesaji na upotezwaji wa viongozi na wanachama wa chadema?Wafanye na uchunguzi wa kwa nini yeye ana uenyekiti wa kifalme miaka nenda rudi yeye ni mwenyeki
Usipojifunza historia unapata laana ya kuirudia.Hili bumunda lingine linaona limetoa hoja.
Ulitaka aandikeje!? Wewe endelea kulike tu, kusoma tuachie sisi.Kichwa cha habari na content mbona tofauti
Ila we mwamba yani nilijua unapita una like tu kumbe na hua unasoma kabisa aiseeKichwa cha habari na content mbona tofauti
relax tu gentleman,We unachopinga ni kipi?
Acha hao wachunguzi waje, mnachopaswa kufanya ni kuunga mkono kama kweli mnahuzunishwa na utekaji na uuaji wa waTanzania.
Uchawa ukizidi unakiwa shog@.

Waliahirisha kufikiri kizalendo, a.k.a kujizima dataKipindi Lissu amepigwa risasi kauli kama hii ilitolewa.
Cha kushangaza na kusikitisha watu walirambishwa asali wakaufyata.
Wafiwa wamepewa 5M ya pole. Je M/kiti ataingiziwa ngapi? Wiki haiishi atadumbukiziwa 400M then ghafla yeye mwenyewe ataanza kuahirisha ahirisha harakati mwishowe linapita. Fedha ina nguvu sana.Kipindi Lissu amepigwa risasi kauli kama hii ilitolewa.
Cha kushangaza na kusikitisha watu walirambishwa asali wakaufyata.