Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mbowe comedian, hii ni nchi huru huo ujinga haupo asahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ajalinichunguzwe na scotland yard. Kweli mbogamboga mmeishiwaVipo baadhi ya vifo vilivyowahi kuleta taharuki nchini ikiwemo kifo cha marehemu chacha wangwe aliyepata ajalli eneo la pandambili nje kidogo ya Jiji la Dodoma.
Hakukuwahi kuwa na tume au timu maalumu ya kuchunguza kifo au ajali hii.
Tunapochunguza ya zamani tunaweza kupata mwangaza wa yanayojiri sasa.
Huu ni ushauri huru kwa vyombo na Viongozi wetu katika kupambana na taharuki za kijamii.
ICJ mainly inadeal na kesi za migogoro kati ya nchi na nchi. Nahisi ulitaka kumaanisha ICC.ICJ ipo kwa sababu ipi?
Umeuliza swali la kipuuzi ndio maana nakuita bumunda, eti Scotland Yard wakikuta watuhumiwa nani wa kuwapeleka kwenye mkono wa sheria.. si swali la kipuuzi kabisa
Mpigie simu masauni muulize kulikoni Tanga ilikuwaje? akusimulie.Hahahah... Mbowe hapo kashawapoteza nyumbu wote waliokuwa wanamlalamikia baada ya msiba wa Tanga. Anajua kabisa hilo haliwezekani ila nyumbu kwa ujinga wao wanasubiri Scotland yard waje. Safi sana Sultani Mbowe kwa kuweza kuwavuruga nyumbu.
Kwa SERIKALI haihusiki na masuala ya utekaji na mauaji itakubaliana nayo maana haihofii chochote."Tumekaa kama viongozi tumeshauriana kwa kina, kama kweli tume ya kimahakama ya kijaji, kwa mazingira ya nchi yetu ilivyo, kwa namna tulivyoliona bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linapuuza utekaji, kwa namna ambavyo tumeiona mahakama kuu inapuuzs utekaji, hivi kweli hiyo rai ya kumtaka Rais aunde tume huru ya kimahakama na watu wenyewe ni haohao wa mifumo tutakuwa salama?"
"Sasa baada ya mashauriano ya viongozi wa ngazi zote hizi, tumekubaliana, watu pekee ambao tuna imani wanaweza kuja kufanya uchunguzi wa haki katika nchi yetu, iwe lazima ni chombo cha kimataifa cha uchunguzi, na kipekee tumependekeza chombo kinachoitwa Scotland Yard kutoka jeshi la polisi la Uingereza kuja kufanya uchunguzi huu.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari siku ya Jumatano Septemba 11, 2024 Makao Makuu ya chama hicho, jijini Dar es Salaam.
PIA SOMA
- News Alert: - Freeman Mbowe: Vikao vya CHADEMA vimesema 'This Must Come to an End', lazima jambo hili lifike mwisho
Kumbe ni hivyo? Sasa mbona hao unaowaamini hachunguzi tangu utekaji umeanza hadi leo? Wewe utakuwa hauhuzuniki na uteakaji na mauaji ila ipo siku nawe yatakukuta tu hata kama ndio mtawala.hakuna haja,
na wala hakuna sababu hata moja kufikia hatua hiyo ya aibu kwa hisia potofu tu za kisiasa kutoka kwa wanasiasa wa upinzani waliofilisika hoja, dhidi kwa taasisi imara na kisasa sana za ulinzi Tanzania na zinazo aminika zaidi mataifa mbalimbali duniani na ulimwengu mzima...
hakuna taifa la lolote la ng'ambo linaloweza kukubali kuhadaiwa na mihemko ya mtua aliekosa uhalali wa uongozi na king"ang'anizi kwa kubadili katiba ndani ya taasisi yake binafsi anayoingoza ili abaki madarakani,
lakini pia hakuna Taifa ambalo linaweza kupoteza muda kumskiliza na kumuamini mtu ambae, kwa masamaha wa raisi alisamehewa uhalifu wa kigaidi![]()
Acheni unafiki, mnaelewa uwezo wa tume huru ya uchunguzi kutoka nje, mnaelewa lazima mtaaibika, sasa mnaanza kupinga kwa hoja za kipumbavu zisizo na mashiko.unaejua punguza makasiriko kidogo basi halafu elezea mambo kwa utaratibu bila mihememko wala hitimisho la ghadhabu kwenye majadiliano muhimu sana kama haya....
kwanza yule muungwana chairman alikua ametumia kinywaji gani kwanza?
chama chake kina sera za mambo ya nje kweli?
ana record za kigaidi na uchochezi,
anapanga kuuhaini kupindua serikali ya kidemokrasia kimabavu,
halafu ati anataka taasisi za nje kuvuja sheria za kimataifa kuja kuingilia uhuru wa mambo ya ndani ya nchi nyingine kwa hisia na mihemko ya mtu alie tumia kinywaji cha kusisimua akili ?
hakuna kitu kama hicho bana na haiwezekani kutokea hasa kwenye dunia ya leo.
you can't paint Tanzania badly like that in the face of the world unless you have personal issues or mental probablems 🐒
Mkuu huyu ndio alienunuliwa au mwingine?Daah