Freeman Mbowe: Scotland Yard ya Uingereza ichunguze Matukio ya Utekaji na Uuaji nchini

Mfumo utakubali?
 
We unachopinga ni kipi?
Acha hao wachunguzi waje, mnachopaswa kufanya ni kuunga mkono kama kweli mnahuzunishwa na utekaji na uuaji wa waTanzania.

Uchawa ukizidi unakiwa shog@.
 
Hili bumunda lingine linaona limetoa hoja.
 
Wafanye na uchunguzi wa kwa nini yeye ana uenyekiti wa kifalme miaka nenda rudi yeye ni mwenyeki
Kwahiyo yeye kuwa Mwenyekiti ndo sababu ya matukio ya mauwaji, utekaji, utesaji na upotezwaji wa viongozi na wanachama wa chadema?
 
We unachopinga ni kipi?
Acha hao wachunguzi waje, mnachopaswa kufanya ni kuunga mkono kama kweli mnahuzunishwa na utekaji na uuaji wa waTanzania.

Uchawa ukizidi unakiwa shog@.
relax tu gentleman,
hakuna taifa lolote la kistaarabu duniani hususan kutoka ng"ambo linaweza kuthubutu au kupoteza muda au kukiuka sheria za kimataifa kuingilia mambo ya ndani ya nchi ingine,

tena kwa kuskiliza tu madai ya hisia na mihemko yanayotolewa na mtu amabae ana record ya kihalifu tena ugaidi kabisa, ambao ni tishio la kiusalama duniani kote,

lakini zaidi sana ambae anashukiwa kua ni miongoni mwa wenye mikono yenye damu za watu dhidi ya yanayoendelea ndani chama chake mwenyewe

infact,
katika masuala ya ulinzi na usalama, Tanzania inaaminika zaidi duniani uklinganisha hata na hicho kunachoombwa kuja kufanya uchunguzi ambacho kwakweli si muhimu na hakuna haja wala sababu hata moja ya kuja jumu nchini
 
Kipindi Lissu amepigwa risasi kauli kama hii ilitolewa.
Cha kushangaza na kusikitisha watu walirambishwa asali wakaufyata.
Wafiwa wamepewa 5M ya pole. Je M/kiti ataingiziwa ngapi? Wiki haiishi atadumbukiziwa 400M then ghafla yeye mwenyewe ataanza kuahirisha ahirisha harakati mwishowe linapita. Fedha ina nguvu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…