Freeman Mbowe: Scotland Yard ya Uingereza ichunguze Matukio ya Utekaji na Uuaji nchini

Mwanasheria nguli bwana Lissu na huyo mwenzake Mbowe n kwamba hawajui kuwa h n nchi huru au ndio kujitoa ufahamu kama kawaida yao 😂
 
Yaani ajalinichunguzwe na scotland yard. Kweli mbogamboga mmeishiwa
 
Hahahah... Mbowe hapo kashawapoteza nyumbu wote waliokuwa wanamlalamikia baada ya msiba wa Tanga. Anajua kabisa hilo haliwezekani ila nyumbu kwa ujinga wao wanasubiri Scotland yard waje. Safi sana Sultani Mbowe kwa kuweza kuwavuruga nyumbu.
 
ICJ ipo kwa sababu ipi?
Umeuliza swali la kipuuzi ndio maana nakuita bumunda, eti Scotland Yard wakikuta watuhumiwa nani wa kuwapeleka kwenye mkono wa sheria.. si swali la kipuuzi kabisa
ICJ mainly inadeal na kesi za migogoro kati ya nchi na nchi. Nahisi ulitaka kumaanisha ICC.

Tuassume upo sahihi ni ICJ.

ICJ inatakiwa iletewe mtuhumiwa na nani? Wanasiasa wangapi umewaona ICJ kwa makosa ya kuua raia wao wenyewe?

Niliponukuu usemi wa kutojifunza historia nimemaanisha hujui kitu ni unakariri wanachoongea wanasiasa na huna unachojua.

Upo mtupu mno kichwani na unahisi itasaidia ukiwa unaandika matusi online. Kasome historia ya kisiasa ya Malaysia, Nigeria, Philippines, Sudan kisha tafuta wangapi walienda ICJ. Na sovereignty nations ngapi ziliwahi alika taifa la nje kwa uchunguzi wa ndani kwao
 
Hahahah... Mbowe hapo kashawapoteza nyumbu wote waliokuwa wanamlalamikia baada ya msiba wa Tanga. Anajua kabisa hilo haliwezekani ila nyumbu kwa ujinga wao wanasubiri Scotland yard waje. Safi sana Sultani Mbowe kwa kuweza kuwavuruga nyumbu.
Mpigie simu masauni muulize kulikoni Tanga ilikuwaje? akusimulie.
 
Kwa SERIKALI haihusiki na masuala ya utekaji na mauaji itakubaliana nayo maana haihofii chochote.
 
Kumbe ni hivyo? Sasa mbona hao unaowaamini hachunguzi tangu utekaji umeanza hadi leo? Wewe utakuwa hauhuzuniki na uteakaji na mauaji ila ipo siku nawe yatakukuta tu hata kama ndio mtawala.
 
Acheni unafiki, mnaelewa uwezo wa tume huru ya uchunguzi kutoka nje, mnaelewa lazima mtaaibika, sasa mnaanza kupinga kwa hoja za kipumbavu zisizo na mashiko.

Unafiki wa kutoa pole twitter ni drama tu, ukweli mnautambua hata nyie chawa ni kina nani wanahusika.

Vyombo vyetu vya ulinzi ni weupe mbele ya hao Scotland Yard, hivyo acha kuongea pumba.
 
Sidhani kama itakuwa na msaada , nguvu ya kufanya uchunguzi ianzie kwa wananchi tu .

Maana hata miaka 4 iliyopita US iliwasaidia kuwatajia muuaji mkubwa kwa kumfungia kuingia US yeye na mkewe ila ajabu serikali ya CCM bado ikamrudisha serikalini na kumzawadia cheo cha RC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…