Kuna taarifa zinasambaa kuwa CHADEMA hakitachagua wabunge wa viti maalumu kwenye uchaguzi huu huku wakijua kabisa kuwa ipo kisheria.
Kutochaguliwa wabunge waliokuwa wabunge miaka 10 kutoka CHADEMA katika uchaguzi huu akiwepo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe isiwe ndio kigezo cha kuwaminya wengine wasiingie Bungeni.
Mbona mlipochaguliwa hakuna aliyelalamika kuwa Lowassa ameibiwa hivyo mkasusa kwenda Bungeni mwaka 2015.
Waachieni na wengine wakafanye kazi za ubunge pia mbona Trump kafungasha mizigo huko White House wewe Mbowe ni Nani???
Nadhani Wana kiubinafsi kutaka kunyanyasa wanawake tu Hawa, pia awamu hii wanawake wa CDM wamejitoa kwa chama na hawajasaliti wananchi ka wanaume, na hata CDM ilipokosa wagombea wanaume kwa uoga wanawake waligombea kwa kujitoa bila kujali siasa za awamu hii za mkono Dola sasa kuzuia viti maalumu inaonyesha ni chama kisichojali wanawake.Nakumbuka Sana uchaguzi wa marudio wa madiwani pale uwanja wa Soweto lilipolipuka bomu na kuuwa watu kadhaa na hata yale maandamano kule Arusha pia watu walikufa na wao wakina Mbowe na Lema walikwenda kula kiapo Cha ubunge Dodoma Sasa kwanini wanataka Kenani asiende Dodoma kuapa Bungeni, wamuache dada wa watu naye akafanye kazi aliyo tumwa na wananchi wake
Yalikuwa ya kisiasa na hata uchaguzi huu ulikuwa wa kisiasa.Kwani yale mauaji yalifanyika kwenye uchaguzi ?
Hakuna mwanamke aliyeshinda ubunge wa vitimaalum maana hakuna sehemu yeyote vitimaalum wanapigiwa kura.CHADEMA waache ubinafsi na ubaguzi kwa wanawake walioshinda viti maalumu, mbona wao walishinda dhidi ya tume hii hii na wakaenda bungeni?
Huu haukuwa uchaguzi ulikuwa ni ujambaziYalikuwa ya kisiasa na hata uchaguzi huu ulikuwa wa kisiasa.
Wangekuwa wananyanyasa wanawake wanaweza kuteua wanawake zaidi ya 68 kugombea nafasi za uongozi ?Nadhani Wana kiubinafsi kutaka kunyanyasa wanawake tu Hawa, pia awamu hii wanawake wa CDM wamejitoa kwa chama na hawajasaliti wananchi ka wanaume, na hata CDM ilipokosa wagombea wanaume kwa uoga wanawake waligombea kwa kujitoa bila kujali siasa za awamu hii za mkono Dola sasa kuzuia viti maalumu inaonyesha ni chama kisichojali wanawake
Wangekuwa na ubinafsi Wangepewa majimbo 68 yakugombea ubunge? Seriously Uporwe ubunge kwa mtutu wa Bunduki ulioshinda kihalali, uje kupewa viti Maalumu kihuni. Uwe unajaribu kufikiria kabla ya ku comment.CHADEMA waache ubinafsi na ubaguzi kwa wanawake walioshinda viti maalumu, mbona wao walishinda dhidi ya tume hii hii na wakaenda bungeni?
Ya chadema hayakuhsu ukiwa unapinga mabaya ungeeanza na aliyesema ukichagua upinzani haleti maendeleo ningekuona wa maana na sio hivi matagaCHADEMA waache ubinafsi na ubaguzi kwa wanawake walioshinda viti maalumu, mbona wao walishinda dhidi ya tume hii hii na wakaenda bungeni?
Kashasema akichanganyiwa hapeleki maendeleo sasa huyu anaenda kuyaleta wapiWa Nkasi amesema atakwenda Bungeni kuapishwa ili awatumikie wananchi waliomchagua Sasa hapo Mbowe hataki ....dada nenda Bungeni kawawakilishe waliokuchagua
Onesha uraia wako wa kawaida wakati kuna malalamiko ya uchaguziKwani kipindi kina mnyika wanaenda bungeni watu hawakufa mfano Yale maandamano ya Arusha. Kwangu mimi acheni ubinafsi, hafu Mimi siko chama chochote ni raia wa kawaida nisiye na mihemkoa
Na wewe ni mwanamke mweupe utapewa tuteuziHaijalishi lakini Mbowe aache ubinafsi awaache wanawake waende Bungeni
Raisi alisema hapeleki maendeleo kwa watakao chagua wapinzani vipi huyu atapelekewa.Nakumbuka Sana uchaguzi wa marudio wa madiwani pale uwanja wa Soweto lilipolipuka bomu na kuuwa watu kadhaa na hata yale maandamano kule Arusha pia watu walikufa na wao wakina Mbowe na Lema walikwenda kula kiapo Cha ubunge Dodoma Sasa kwanini wanataka Kenani asiende Dodoma kuapa Bungeni, wamuache dada wa watu naye akafanye kazi aliyo tumwa na wananchi wake