Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe usiwanyime wengine Ubunge kisa wewe hujashinda

Watazuia maendeleo
 
Yaan umekuwa kama popo vile???
 
Tunataka bunge zima liwe la CCM hatutaki vibaraka wa MABEBERU ndani ya bunge letu Tukufu.
 
Unyama, ukatili, ushenzi na uhayawani wa wazi uchaguzi huu, nitawadharau sana cdm iwapo watabariki upuuzi huo kwa kwenda bungeni. Wakati wa Lowasa hakukuwa na ushenzi wa wazi hivi.
Mumevuna mlichokipanda, sasa mumebakia kutengeneza kiki, kesho tutasikia mwingine akiigiza kukimbilia ubalozi wa bagdadi kutafuta kuishi inchi yenye amaniii.
 
Kama CHADEMA wanaona ni fair wafanye hivyo,ila watakuwa wamebariki uhuni waliofanyiwa.Wale walidhamiria wabaki wenyewe watupu,wanataka upinzani wa nini,au wanajua watawaburuza kwenye hoja?.CHADEMA iridhie tu ili iendelee kuwepo kwenye medani za siasa
 
mbona mnateseka? boss wenu alisema kufika 2020 ataua upinzani haya umekufa mbona mnalazimisha uwepo?? au mmesahau kwenye kampeni alikua anasema niletee wa ccm ili niwaletee maendeleo mkiwaleta wa upinzani sileti sasa mmepata wa upinzani mbona tena mmnalia lia??
 
Halafu unakuta eti nawewe kuna familia inakutegemea uiongoze daaah 😂
 
Tume ya UCHAGUZI na chama tawala kinajua madhaifu ya wapinzani na kinayatumia ipasavyo Sasa NEC inatafuta namna ya kuwapoza. Sasa katika Hili ikiwa watakubali kupeleka na kuruhusu viti maalum inamaana wanautambua UCHAGUZI MKUU kuwa NI halali
 
Ni hivi, kwenye kampeni ccm mlisema cdm wanakwamisha maendeleo kama kawe na bunda.sasa crimea na wenzio chukueni viti hivyo msije sema cement inapanda bei tokana na cdm
 
Kijani, tena kibichi bado.

Mihemko pia inawezekana unayo ni vile tu unajisahihishia huo mtiani. Wape wengine wakupe majibu kama una mihemko au la.
Hata nikiwa pink au nyekundu wewe hayakuhusu, mwisho wa siku kila mtu na maoni yake.
 
Kwani kipindi kina mnyika wanaenda bungeni watu hawakufa mfano Yale maandamano ya Arusha. Kwangu mimi acheni ubinafsi, hafu Mimi siko chama chochote ni raia wa kawaida nisiye na mihemkoa
Ya Arusha kilikuwa kipindi cha uchaguzi?
 
Hata nikiwa pink au nyekundu wewe hayakuhusu, mwisho wa siku kila mtu na maoni yake.
Ukishakuwa humu, ukatoa comment, comment yako ni public comment. unajibiwa na yeyote na inamuhusu yeyote anayejisikia kukujibu. We ni kijani sio pink wala nyekundu. KIJANI tena bado kipya kipya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…