Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm naona walikengeuka kwa kushindwa kujua umuhimu wa upinzani Sasa wametinginya ndo wanashuka hawakujifunza kutoka kikwete alitekuwa ana jitahidi ku wa favor ili kuepusha vitu vya aibu vya sasa.Wapinzani wametuchelewesha sana tangu Uhuru mwaka 1961 sasa Nani anawataka bungeni?
Kwani CHADEMA ikifutika wazee Lumumba wa Mavi 8 wataathirika nin?
For the very first time in the history CCM wanajipendekeza Kwa wapinzani
Damu za watu zinawatafuna na bado uingereza inajitoa kufadhili dikteta
Samahani, are you serious? Tafadhali niambie kuwa unatania! Siamini kabisa kama uko serious hapa!Kuna taarifa zinasambaa kuwa CHADEMA hakitachagua wabunge wa viti maalumu kwenye uchaguzi huu huku wakijua kabisa kuwa ipo kisheria.
Kutochaguliwa wabunge waliokuwa wabunge miaka 10 kutoka CHADEMA katika uchaguzi huu akiwepo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe isiwe ndio kigezo cha kuwaminya wengine wasiingie Bungeni.
Mbona mlipochaguliwa hakuna aliyelalamika kuwa Lowassa ameibiwa hivyo mkasusa kwenda Bungeni mwaka 2015.
Waachieni na wengine wakafanye kazi za ubunge pia mbona Trump kafungasha mizigo huko White House wewe Mbowe ni Nani???
Jiwe alisema mwaka 2020 inch itakua ya chama kimoja mbona unashangaaSamahani, are you serious? Tafadhali niambie kuwa unatania! Siamini kabisa kama uko serious hapa!
Walishinda wote wanabadilishwa na kupewa wake zaoCHADEMA waache ubinafsi na ubaguzi kwa wanawake walioshinda viti maalumu, mbona wao walishinda dhidi ya tume hii hii na wakaenda bungeni?
Wacha uongo tume ya jakaya ni tofauti na hiiCHADEMA waache ubinafsi na ubaguzi kwa wanawake walioshinda viti maalumu, mbona wao walishinda dhidi ya tume hii hii na wakaenda bungeni?
Cuf hawapo? Chadema imekufa achaneni nayoCHADEMA waache ubinafsi na ubaguzi kwa wanawake walioshinda viti maalumu, mbona wao walishinda dhidi ya tume hii hii na wakaenda bungeni?
Ni seme tu yakwamba hawa hawakuwa wazalendo wa nchi hii bali ni uchu wa madaraka Mimi naomba waliochaguliwa waendelee wasiwasikiizeKuna taarifa zinasambaa kuwa CHADEMA hakitachagua wabunge wa viti maalumu kwenye uchaguzi huu huku wakijua kabisa kuwa ipo kisheria.
Kutochaguliwa wabunge waliokuwa wabunge miaka 10 kutoka CHADEMA katika uchaguzi huu akiwepo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe isiwe ndio kigezo cha kuwaminya wengine wasiingie Bungeni.
Mbona mlipochaguliwa hakuna aliyelalamika kuwa Lowassa ameibiwa hivyo mkasusa kwenda Bungeni mwaka 2015.
Waachieni na wengine wakafanye kazi za ubunge pia mbona Trump kafungasha mizigo huko White House wewe Mbowe ni Nani???
Wapinzani wanakwamisha maendeleo broKuna taarifa zinasambaa kuwa CHADEMA hakitachagua wabunge wa viti maalumu kwenye uchaguzi huu huku wakijua kabisa kuwa ipo kisheria.
Kutochaguliwa wabunge waliokuwa wabunge miaka 10 kutoka CHADEMA katika uchaguzi huu akiwepo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe isiwe ndio kigezo cha kuwaminya wengine wasiingie Bungeni.
Mbona mlipochaguliwa hakuna aliyelalamika kuwa Lowassa ameibiwa hivyo mkasusa kwenda Bungeni mwaka 2015.
Waachieni na wengine wakafanye kazi za ubunge pia mbona Trump kafungasha mizigo huko White House wewe Mbowe ni Nani???
Unaijua list ya walioshinda?CHADEMA waache ubinafsi na ubaguzi kwa wanawake walioshinda viti maalumu, mbona wao walishinda dhidi ya tume hii hii na wakaenda bungeni?
Acha unafikiKwani kipindi kina mnyika wanaenda bungeni watu hawakufa mfano Yale maandamano ya Arusha. Kwangu mimi acheni ubinafsi, hafu Mimi siko chama chochote ni raia wa kawaida nisiye na mihemkoa
Kwani ya kikwete ilikuwa NEC ya Marekani?Wacha uongo tume ya jakaya ni tofauti na hii
Wewe ndio mnafiki maana unachoamini ndio unaona uko sahihiAcha unafiki
Duh nchi hii bila kujuana kutoboza ni ngumu Sana labda upate kudra za Mwenyezi MunguWalishinda wote wanabadilishwa na kupewa wake zao
Jakaya alikua meanasiasa na hakuua watu kama huyu kafiri anavyoua wazanzibariKwani ya kikwete ilikuwa NEC ya Marekani?
Ndio endeleeni kwanini mnalazimisha na mpenda hivyo ?Cuf walisusa nini walikipata sasa zaidi ya kupotea kabisa
Hivyo vyama vyengine na viwape nguv. Kwanini mnalazimisha wakati hawataki. Tutakwenda dukani na ununuzi utakuwa WA bei moja kati ya mataga(ccm) na WA upinzani na wengine. Kwahiyo hatutapungukiwa chochote bakini tu pekeyenu mmetaka wemyewe kubakia chama kimoja.Wasusieni ccm basi maana hapo ccm hawana shida Ila mnajikomoa nyie ka chama maana mtasahaulika uwepo wenu mtajuta na ccm inaweza kukipa power chama kingine Cha upinzani ndio mtajutra, Cuf walisusa nini walichokipata?
Nileteeni Ccm mzee baba. Acheni bunge letu liwe la kijani.CHADEMA waache ubinafsi na ubaguzi kwa wanawake walioshinda viti maalumu, mbona wao walishinda dhidi ya tume hii hii na wakaenda bungeni?