Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
CHADEMA waache ubinafsi na ubaguzi kwa wanawake walioshinda viti maalumu, mbona wao walishinda dhidi ya tume hii hii na wakaenda bungeni?
Bunge kiwe na chama kimoja tu ili maendeleo yawe makubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA waache ubinafsi na ubaguzi kwa wanawake walioshinda viti maalumu, mbona wao walishinda dhidi ya tume hii hii na wakaenda bungeni?
Nadhani Wana kiubinafsi kutaka kunyanyasa wanawake tu Hawa, pia awamu hii wanawake wa CDM wamejitoa kwa chama na hawajasaliti wananchi ka wanaume, na hata CDM ilipokosa wagombea wanaume kwa uoga wanawake waligombea kwa kujitoa bila kujali siasa za awamu hii za mkono Dola sasa kuzuia viti maalumu inaonyesha ni chama kisichojali wanawake
Lengo limetimia... Bunge lote ni kijani, nendeni mkafanye kazi bila kelele za wapinzani
Wanachadema hatuutambui uchaguzi uliofanyika sasa wewe unatulazimisha?Viongozi wana wajibu ya kuwasikiliza wanachama wao na kutenda haki.
Ngoja tuone watakavyotenda haki kama wanavyotuaminisha kwao kuna demokrasia na haki.
ubinafsi wa CCM unawatokea puaniUbinafsi wa kiwango cha juu
Uzuri hata Chadema wakimvua uanachama anajiunga CCM, anaendelea kuwatumikia wananchi waliomchagua.Wa Nkasi amesema atakwenda Bungeni kuapishwa ili awatumikie wananchi waliomchagua Sasa hapo Mbowe hataki ....dada nenda Bungeni kawawakilishe waliokuchagua
Na wewe ulikuwa wapi Hadi hayo Mambo yote yakatendeka na Sasa unilaumu Mimi kwa hyo Hali?Kwa hiyo wewe Leo ndo unaipenda Sana chadema kuliko chadema inavyojipenda??
Ulikuwa wapi Kupiga kelele na kuitetea wakati Kura za wizi zinatumika kupitisha wagombea wenu? Ulikuwa wapi Kupiga kelele wakati Mawakala wa vyama vya Upinzani wanazuiwa kuapishwa? Ulikuwa wapi wakati NEC wanatangaza matokeo FEKI na kutangaza wagombea walioshindwa?? Hebu tuacheni unafki jamani!
Hayo ndio maneno chadema wasiyotaka kuyasikiaSina ukijani wowote napenda kutumia akili na sio mihemko yenu
CCM wakichemka kuiba kura Hadi aibu, na Sasa ndio wanashtuka na kuvuta blanket wakati kumekucha, hawajui umuhimu wa mawazo mubadala.Bunge kiwe na chama kimoja tu ili maendeleo yawe makubwa
Hili swala linahitaji hekima maana na wao walishinda chini ya hii tume kwanini sasa wabadili gear anganiViongozi wana wajibu ya kuwasikiliza wanachama wao na kutenda haki.
Ngoja tuone watakavyotenda haki kama wanavyotuaminisha kwao kuna demokrasia na haki.
Na akijoin CCM watamthamini na kumtunza maana kaonyesha uzalendo wa hali ya juu. Dada wa watu ameinvest kwenye siasa atumikie wananchi na hapo hapo apate riziki yake ya kuendesha maisha, wanataka akale wapi?Uzuri hata Chadema wakimvua uanachama anajiunga CCM, anaendelea kuwatumikia wananchi waliomchagua.
Hana haja ya kuwa na pressure.
Hili swala linahitaji hekima maana na wao walishinda chini ya hii tume kwanini sasa wabadili gear angani
Hapo ndio wanapokosea na kuwa na mihemko na too much uhanarakati ambao umeshindwa kwa awamu, lazima wakae chini wafikirie new tactics kususa ni ujinga flani hivi Mimi naonaHayo ndio maneno chadema wasiyotaka kuyasikia
Wanataka tuu ukubali wanachokiamini.
Wengi wao wana mitusi badala ya hoja
Kupanga ni kuchagua, ngoja tuione chadema itakachofanyaHapo ndio wanapokosea na kuwa na mihemko na too much uhanarakati ambao umeshindwa kwa awamu, lazima wakae chini wafikirie new tactics kususa ni ujinga flani hivi Mimi naona
Kwani hakuna wanawake Bungeni?Kama hoja ni wanawake.Haijalishi lakini Mbowe aache ubinafsi awaache wanawake waende Bungeni
Chama hakichagua wala kwanini mnalazimisha mambo wkati mnahitaji bunge lá chama kimoja,?CHADEMA waache ubinafsi na ubaguzi kwa wanawake walioshinda viti maalumu, mbona wao walishinda dhidi ya tume hii hii na wakaenda bungeni?