Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe usiwanyime wengine Ubunge kisa wewe hujashinda

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe usiwanyime wengine Ubunge kisa wewe hujashinda

Chama hakichagua wala kwanini mnalazimisha mambo wkati mnahitaji bunge lá chama kimoja,?
Wasusieni ccm basi maana hapo ccm hawana shida Ila mnajikomoa nyie ka chama maana mtasahaulika uwepo wenu mtajuta na ccm inaweza kukipa power chama kingine Cha upinzani ndio mtajutra, Cuf walisusa nini walichokipata?
 
Kupanga ni kuchagua, ngoja tuione chadema itakachofanya
Wakiamua kufanya kosa kama lile la kuwafukuza tbc kwenye kampeni kisha kulaumu mikutano yao kutorushwa hewani watakua watu wasiojifunza
Shida Wana mihemko kuliko uhalisia wa Mambo kususa jambo haiujawahi kuwa solutions ka Cuf walisusa na bunge likaendelea wanafikiria wakisusa Wana mkomoa Nani zaidi ya kupoteza wapiga kura na kutokuaminika tena
 
Kila chama kitumie busara na kuona wafanye lipi kwa maslahi ya nchi

Kama kisusa ni suluhu na wanadhani italeta maendeleo wanayoyataka na ni sawa kwa viongozi na wanachama wao powaa
Masilahi ya nchi ni muhimu ili kuwe na balance sasa wakitumia hasara ni hasara kwa taifa, tunataka kuwe na balance hata kidogo ili tupate check and balance huko bungeni
 
Kwani kipindi kina mnyika wanaenda bungeni watu hawakufa mfano Yale maandamano ya Arusha. Kwangu mimi acheni ubinafsi, hafu Mimi siko chama chochote ni raia wa kawaida nisiye na mihemkoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mbogamboga hii huruma imetoka wapi ghafla wakati mlikuwa mnataka connection ili mlete maendeleo?? Semeni tuu kwamba mmekwama kwenye muundo wa uendeshaji bunge na kuwa na kambi ya upinzani bungeni, jambo litakalowapelekea kukosa zile Trilioni 2 kutoka UN [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nikisikia hilo jina la Mbowe natamani nitoe neno kali kuliko ukali wenyewe.
Huyu Mtu mwovu na katili Mbowe amevuruga Demokrasia ya nchi hii kwa kutumiwa na makundi ndani ya CCM.
Uchaguzo wa Mwaka huu chaguo lake halikuwa Lisu. Ni Mwenyeki wa aina ya wenyeviti wa vyama vingine kama TLP ,UDP n.k. Ni Mbinafsi kupitiliza.

Amewahujumu na kuwafukuza Kwenye Chama Watu wenye akili kubwa wote kwa hofu tu na kutaka kungangania kiti.
Ruzuku yote ya chama ameitumia vibaya kufanya vurugu ambazo hazikuleta matunda yoyote badala ya kujenga chama na miundo mbinu yake.

JPM sio mtu mwema sana na hakuja kuwafurahisha wote bali ule ni upanga ulioletwa Tanzania kuja kuwalipa wale wote walioihujumu nchi hii kiuchumi,kisiasa na kijamii. Mbowe ni mmoja wapo wa watu wanaolipwa kwa uovu wao. Wengini ni wabunge wa waupinzani waliokaa bungeni kwa miaka zaidi ya 20 lakini hawajawahi kutetea maslahi ya umma kwa vitendo kwa kupunguza mishahara yao ili wanyonge wapate huduma bora hospotalini n.k.

Mbowe asimbughudhi mbunge aliyeshinda lakini viti maalum kwa kweli asiteue mana mikoa watakapotoka hao wabunge itanyimwa maendeleo kabisa.

Ni bora nchi ipate maendeleo kwa usawa mana ahadi za mgombea wa CCM zilikua wazi kuwa watakaowachagua wapinzani waandike maumivu kwa sababu hawatapata maendeleo.
 
Shida Wana mihemko kuliko uhalisia wa Mambo kususa jambo haiujawahi kuwa solutions ka Cuf walisusa na bunge likaendelea wanafikiria wakisusa Wana mkomoa Nani zaidi ya kupoteza wapiga kura na kutokuaminika tena
why CCM are so concerned by the matter than CDM?
 
why CCM are so concerned by the matter than CDM?

Issue sio CCM wala CHADEMA ila taifa.

Na pia mijadala yote ya siasa inayoendelea hapa jf kila mwenye maoni anayawakilisha iwe Chadema, CCM, ACT hata wasio na chama wanachangia kadri ya uelewa wao
 
Issue sio CCM wala CHADEMA ila taifa.

Na pia mijadala yote ya siasa inayoendelea hapa jf kila mwenye maoni anayawakilisha iwe Chadema, CCM, ACT hata wasio na chama wanachangia kadri ya uelewa wao
CDM hawataki kushirikuana na serikali dhalim wauaji makatili sio kususa we are just avoiding you guys

hata ndugu kama anatabia ngumu unatakiwa ummpe space

mnatakiwa mjinafasi Kwa raha ZENU maana nchi ni ya wazee wa Mavi 8
Masilahi ya nchi ni muhimu ili kuwe na balance sasa wakitumia hasara ni hasara kwa taifa, tunataka kuwe na balance hata kidogo ili tupate check and balance huko bungeni
wakati wanaiba kura na kuua wazanzibari walikua wanatafuta maslahi ya taifa?.....
trillion 2 sio nyingi....
kazi ipo kutoka uingereza inayotoa theluthi ya pesa ya bajeti hio ipo hatarini
mlikua mnasema wapinzani wamewachelewesha tangu 1961

ngoma mnayoipiga isiwashinde kucheza
 
Hivi kushinda mmechinda nyinyi malalamiko ya nini tena.

Matukio yote yaliyokuwa yanaendelea kwenye uchaguzi ulikuwa kimya , now dayz kelele.
Wametumwa hawa maana mambo huko jikoni kwao yameharibika bila kuwa na angalau wabunge 30 wa upinzani kuunda kambi ya upinzani bungeni [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pilipili usiyoila inakuwashia Nini?tulia,hiki chama hakikuhusu
 
why CCM are so concerned by the matter than CDM?
Umejuaje Ni ccm wako concerned Mimi ni Raia wakawaida na sio shabiki wa ccm, so huo utoto mnaotaka kufanya CDM utawa cost Sana, ccm has nothing to loose ilanyie. Mtapotea midomoni mwa Watanzania ile kwenu, acheni kibri
 
Kujenga demokrasia ya nchi yetu changa ni swala mtambuka,sikwambii demokrasia ilivyo changa ndani ya vyama vyote CCM,Chadema,ACT,CUF n,k.
uwezi kujenga demokrasia ya taifa letu bila kuwepo na vyama pinzani kwa namna yeyote ile.
demokrasia ni eneo muhimu sana la kukuza na kujenga uchumi wa nchi yetu.
misimamo yeyote hasi yenye kukwamisha jambo ili ni yakukemewa vikali hasa kipindi iki cha sintofahamu ya uchaguzi uliomalizika juzi.
Hahahahaha leo NDIO unajua umuhimu wa vyama pinzani...ULICHOKUNYWA LEO ENDELEA KUKINYWA KILA SIKU[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna taarifa zinasambaa kuwa CHADEMA hakitachagua wabunge wa viti maalumu kwenye uchaguzi huu huku wakijua kabisa kuwa ipo kisheria.

Kutochaguliwa wabunge waliokuwa wabunge miaka 10 kutoka CHADEMA katika uchaguzi huu akiwepo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe isiwe ndio kigezo cha kuwaminya wengine wasiingie Bungeni.

Mbona mlipochaguliwa hakuna aliyelalamika kuwa Lowassa ameibiwa hivyo mkasusa kwenda Bungeni mwaka 2015.

Waachieni na wengine wakafanye kazi za ubunge pia mbona Trump kafungasha mizigo huko White House wewe Mbowe ni Nani???


Hapana! Watachelewesha maendeleo. Hizo nafasi wapewe CCM ili koneksheni iwepo. Hilo ni somo kubwa tulilopewa wakati wa kampeni. CHADEMA wasipokee nafasi hizo, watawacheleweshea wananchi maendeleo.
 
Umejuaje Ni ccm wako concerned Mimi ni Raia wakawaida na sio shabiki wa ccm, so huo utoto mnaotaka kufanya CDM utawa cost Sana, ccm has nothing to loose ilanyie. Mtapotea midomoni mwa Watanzania ile kwenu, acheni kibri
Mimi si mwanachama wa chama chochote ila mara hii nilipendezwa na Chadema halafu CCM wakapora uchaguzi
Wapinzani hawautambui uchaguzi and they have nothing in common with killers ambao mikono yao imejaa damu za watanzania Kwa Uchu wa madaraka

Sasa wajinafasi peke yao bungeni Kwa raha zao
Wapinzani walituchelewesha tangu mwaka 1961 sasa wa nini tena?
 
Cuf walisusa nini walikipata sasa zaidi ya kupotea kabisaWapinzani
Wapinzani wametuchelewesha sana tangu Uhuru mwaka 1961 sasa Nani anawataka bungeni?

Kwani CHADEMA ikifutika wazee Lumumba wa Mavi 8 wataathirika nin?
For the very first time in the history CCM wanajipendekeza Kwa wapinzani

Damu za watu zinawatafuna na bado uingereza inajitoa kufadhili dikteta
 
Back
Top Bottom