Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

Nimepitia kauli ya Mbowe inayoenezwa na wafuasi wake kwenye Mitandao ya kijamii.

Eti anadai kuwa atakaposhindwa uchaguzi wa 2020 eti ataishitaki Tanzania Umoja wa Mataifa ili waje wamtawalishe kinguvu.

Siku moja Baba wa Taifa aliwahi kuiambia UN kinagaubaga kwamba UN sio serikali ya Dunia bali ni sehemu ambayo dunia inakutana.

Hivyo basi, UN haina nguvu ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu.

Kwahakika, Mbowe anazeeka vibaya kama Maalim Seif ambaye aliwahi kuyashawishi mataifa ya ulaya yatupige vikwazo vua kiuchumi ili tufe njaa.

Tunawaambia kwa sauti kubwa kuwa Tanzania inalindwa na Mungu. Kamwe hakuna anayezidi nguvu za Mungu.
 
Umemalizia vizuri sana. Kwamba TZ inalindwa na Mungu. Isingekuwa hivyo 2015 TZ ingeongozwa na mafisadi ambao walitumia mabilioni kwa mabilioni kuwarubuni watu wawape kura na kwa bahati mbaya waliorubuniwa ni viongozi wa dini zote ukristo, uislam, ukatoliki, upentekoste wote waliingizwa lakini Mungu harubuniwi. Mafisadi wakapigwa chini. Mbowe aelezwe hatapewa uongozi kwa njia za kijanzajanza kwa sababu TZ bado iko mkononi mwa MUNGU wa mbinguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thibitisha Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivyo basi, Dikteta ataendelea kuua kila anaemkosea!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wapi amesema nikishindwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

UN ni mali ya Marekani

Akija UN hapa ni kama Marekani kamtuma
 
Acha. Hayo wewe... Yaani Ccm wanao jua kusoma na kuandika elimu ya darasa la nne wanajua kujaza form kuliko wapinzani ambao wengi wana elimu zao? /usitake watu wacheke.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama wangesoma wangeandika CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO, sio kuandika CHADEMA.
 
Nadhani Sumaye kuna kaugonjwa kamwambukiza Mbowe. Zero. Leo hili kesho the opposite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…