Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Godbless Lema na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Na j2 utamwona kanisani anapokea Sakramenti takatifu
Ndugu yangu wee. Kweli Mungu anachezewa siku hizi. Tena atakuwa anajifanya mnyenyekevu utadhani ni mtakatifu aliyetoka mbinguni kuja kuleta ujumbe duniani kumbe rohoni ni habari nyingine. Unakiona hata kile kijamaa cha Zanzibar kina mpaka sigda kwa ajili ya swala tano tano lakini inapofika kipindi cha kuua watu ili kitawale hakina hiyana yoyote.
 
Aibu sn mkuu
 
Inabidi Mbowe nawe hana doa, maana unaweza kura Mbowe ana madhambi mengi kuliko waliomkamata
Ila Mbowe Mungu atamlipia tu! utawala huu umemtesa kwanamna zote kana kwamba wao wataishi milele.
 
Ni Tanzania pekee ambapo “makosa ya Ugaidi” unapewa dhamana na polisi wenyewe. Neema hii na inamaanisha hata wale mashekhe wa Uamsho watatoka hivi karibuni😊.

Mambosasa anapaswa kujitafakari na kutumia akili pale anaposhauriwa kutangazia Umma uzwazwa
 
Ningekua mimi ni Mungu yani Magufuli angenitambua!

Huwezi ninyanyasia watu wangu kwenye Nchi yao halafu unaniletea unafiki kwenye nyumba yangu ya Ibada na huku mikono yako imejaa damu zisizo na Hatia. Ningemnyoosha haswa...
Ni haki yao kushuhudia rais wao mteule akiapishwa! Serikali anaongozwa na watu waungwana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…