Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
NINA MASHAKA SANA NA HILO,MBONA KABLA YA MADARAKA VIONGOZI HAWANA HAYO MAPETE YA AJABUAJABU?
Huwa wanakua nayo ila tu ni kwamba huwa huna wakati wa kuwaona mara kwa mara kama vile mabavo wanakua marais. Namaanisha kwamba kila kiongozi ana symbols zake na characteristic zake lakini ni kazi kuzijua kama huyo mtu sio Hi profile. Mfano wakati JK anapata Urais utakumbuka kuitokea hata baadhi ya cartoonist wetu kufreez kwa muda wakisema hana alama ya waziwazi. Lakini sasa tayari moja ya famous character yake ni kukuna kichwa na ncha ya kidole chake. Lakini kabla ya hapo ilikua kazi hata kumchora tu hicho kikaragosi chake.
 
Mnawajua freemasons? Mtandao wao ukoje? Wanajihusisha na mambo gani? Kina nani wanajishusisha na huo mtandao nchini Tanzania, na nguvu zao zikoje? Nini athari ya freemasons katika maisha ya watanzania na ulimwengu kwa ujumla? Habari hii imejadiliwa kwa kina hapa: http://michuzijr.blogspot.com/2008/02/jumba-la-freemasons.html#comments

Nakuomba admin ufanye utaratibu na Michuzi Jr kwa hisani yake uziweke hizo comments hapa ili wa nyumba hii pia waweze kunufaika na huo mjadala na kuchangia pia. Aksante.
 
bestfuckingpicever.gif
 
Mengi, Sir Andy Chande, Freeman Mbowe... wengi tu.. its a world network... The first and most highly recognised and most powerful lodge is the All england one.. headed by Prince Michael of Kent cousin of Qn Elizabeth.. These people are not soo GOOD. In fact they are linked to the illuminati.. aka New World Order NWA.. wao ndio wana control dunia... Hard Rock Cafe duinani kote ndio sehemu zao zakukutana unofficially... (kuchill) ilikuaga pale billicanas zamani... research about them kidogo.. utashangaa.
 
Hii inaogopesha. Just when we think we are safe, they rise up in our midst.


Game Theory, hio caption yako ya "Baba Mtakavitu"bomba sana aisee!!!Unazitoa wapi bro?
 
Kwa hiyo Freemasons ni version nyingine ya mafisadi wanaolindana kimtandao!
Ni rahisi kufahamu Freemasons wa Tanzania wanasali wapi. Jumba lao lipo katikati ya Jiji la Dar es Salaam. Need a photo?
 
Je ni kweli watu wanaojiunga na dini hii wanalipwa fedha nyingi sana??? Na kazi yao haswa ni nini kuacha kuwa watakuwa ndio watawala wa 'one religion' hapo baadaye?? Je recruiting yao inakuwaje?? Mtu akiwa Freemason kwa hapa kwetu Tanzania utamtambuaje?? Hii ni vyema tujue ili kuwanusuri, ndugu zet, watoto wetu, waume zetu na wake zetu - marafiki zetu etc. Can someone answer those questions and educate me pleaseeeeee
 
Je ni kweli watu wanaojiunga na dini hii wanalipwa fedha nyingi sana??? Na kazi yao haswa ni nini kuacha kuwa watakuwa ndio watawala wa 'one religion' hapo baadaye?? Je recruiting yao inakuwaje?? Mtu akiwa Freemason kwa hapa kwetu Tanzania utamtambuaje?? Hii ni vyema tujue ili kuwanusuri, ndugu zet, watoto wetu, waume zetu na wake zetu - marafiki zetu etc. Can someone answer those questions and educate me pleaseeeeee

Secret society zote duniani ikiwemo Free Masons huingii kwa kuwa unataka na una hamu sana ya kujiunga.Watu huingia kwa reference.Referee ambaye kafikia kiwango cha juu (HIGH DEGREE) wa masons ndiye hupendekeza mtu wa anayemdhania afaa kujiunga katika vikao vyao vya siri sana

Na katika Secret society yoyote ikiwemo free masons taratibu za kuingia huwa ndefu nyingi na zenye gharama kubwa si za kifedha tu bali na mengineyo ambayo ni siri kwa wale tu waingiao humo.Kwa ufupi Secret Society hujiingizi bali huwa unaingizwa.

Secret Society ni nyingi ziko za aina nyingi duniani wapagani,waislamu,wakatoliki,waprotestant,wachawi,wanasiasa,wafanyabiashara,mainjinia,maharamia kama Mafia,wauza madawa ya kulevya,wanamapinduzi (Mamluki wa kimataifa) n.k makundi yote sehemu kubwa mtu haingii tu kwa maombi bali kwa kupitia Referee.Referee ndiye huwa mentor wa huyo anayetaka kujiunga

Kumtambua free Mason si kazi rahisi kama ilivyo vigumu kuwatambua wachawi.ni watu wa kawaida kabisa wenye dini zao na shughuli zao za kawaida za kila siku kama wengine.Watu wa secret society huwa hawahangaiki kujitambulisha.Ila viongozi wao waweza wajua mfano Tanzania ni Sir ANDY CHANDE na jengo lao la ibada?! liko pale Dar es Salaam,Tanzania kutazamana na geti la KEMPSIKI HOTEL ni jeupe mlangoni lina alama ya compass.
 
Maxence,



Lakini naomba nikufahamishe kidogo kuhusiana na alama ya nyoka anayening'inia kwenye mti. Nyoka yule anayening'inia kweny mti kwanye logo ya Muhimbili ni replication ya kwenye Biblia baada ya Musa kumwinua nyoka wa shaba na kumtundika mtini ambapo kila mtu aliyeng'atwa na nyoka za sumu zilizotumwa kuwaua Waisraeli baada ya kuabudu sanamu badala ya Mungu na kufanya uzinzi pale jangwani. Kila mtu aliyeng'atwa na akamwangalia nyoka wa shaba aliyetundikwa mtini alipona.

Nadhani hiyo ndiyo rationale ya yule nyoka kwenye logo ya Chuo cha Tiba Muhimbili.


Thanks Ibrah;

Kwa sis wa-tiba, alama hiyo pia inatokana ile Venom (Sumu) ya nyoka iliyokuwa ikitumika hasa wakati uliopita ambayo ina uwezo wa kutumika kutengeneza tiba za aina nyingi
 
Kuna nchi freemasons wamepigwa marufuku!Inabidi mwenye ufahamu wa juu hasa mwanachama aje kutupa somo maana tunaongelea upande mmoja wa shilingi na ni ukweli kwamba binadamu tuna hulka ya kuogopa kitu tusichokielewa kama uchawi nk...
 
Mzee thanks so much about the info maana I have heard so many sickening stories about these people with them being associated with devil worshipping.
There are so many things about religion that is too hard to understand.The Catholics with Opus Dei and so many other stories about Mary Magdalene and Jesus are among some very contradicting things!
 
Wether we like it or not the truth is that Free Masons run the world!Pale Moshi nilishawahi kuona their Temple and I felt the need to walk inside and see how the place looks like but I had second doubts.
Free masonry is scaring!The Catholic church has scary sects like the Opus Dei where priests put on thorny belts and such stuff with so much respect to the women.
There are such sects like Knight Templars and so many others.When one ventures into such study,insanity is a great probability to engulf one!
 
Duuuh inatisha kweli kweli, tutapona kweli?

Let faith be your religion and let nothing but morals guide your life and protects thou!

I fear God the most and second to Him I chiefly fear him who fears Him not!
 
Other secret sects include:
Stone of Scone - Stone of Destiny - Jacob's Pillow/Pillar Stone - BabyLon(don) & Rennes Le Chateau,Knight Templars,The Prieure du Sion,Skull & Bones.

Here is a lil story about Skull and Bones!

To: U.S. Congress
To the Congress of the United States of America,

In 1918, the President's grandfather, Prescott Bush, and several accomplices desecrated the grave of Apache holy man Geronimo at Ft. Sill, OK. The men removed Geronimo's head and a prized silver bridle which had been buried with him. Using acid and amid laughter, they stripped Geronimo's head of hair and flesh. They then took their "trophies" back to Yale University and put them on display in the clubhouse of the secret fraternity "Skull & Bones."

The "Skull & Bones" is a secret society founded at Yale in 1832. Its history is intertwined with that of the German Illuminati and the Nazi Party. They maintain a windowless building called "The Tomb" at 64 High Street, New Haven, Connecticut. The club's assets are controlled by a front company, The Russell Trust Association, Inc. Every year, 15 Yale juniors are "tapped" for Skull & Bones membership. They are indoctrinated into the cultish society with elaborate rituals steeped in satanic theatricism and latent homosexuality. The goal of this fraternity is to create the ultimate network of "good ol' boys" around the world. Their alumni includes Prescott Bush's son (George H. W.) and grandson (George W.) as well as heads of state and leaders of numerous intelligence agencies, trading companies, business empires and law firms.

Several years ago, a Skull & Bones member anonymously "leaked" information regarding the society and "The Tomb." This included documents and photographs. One of the documents detailed Prescott Bush's graverobbing exploits. One of the photographs was of a skull and bridle on a shelf, next to a framed photograph of Geronimo. Other sources have since come forward and confirmed that Geronimo's skull is indeed on display in "The Tomb" and considered the "mascot" of this "club" on High Street.

Although the Skull & Bones refuses to officially acknowledge their existence, members have tacitly admitted to possessing Geronimo's head. In fact, Skull & Bones members (including Jonathon Bush, the President's brother) met with Apache leaders in New York in 2000 and attempted to hand over a skull. It was obviously not the skull seen in the smuggled photograph. When this apparent substitution was exposed, the "Bonesmen" changed their story, saying the proxy skull was that of an Indian child.

The Skull & Bones then threatened legal action if the documents and photos from "The Tomb" weren't returned immediately. They apparently had second thoughts, after realizing authorities might ask questions about the apparent abundance of Native skulls kept in New Haven. However, neither skull has been returned and that of Geronimo is apparently still the official mascot of the Yale club.

We the undersigned are horrified with this display of elitist, racist witchcraft and ask Congress, with the assistance of whatever law enforcement necessary, to launch an immediate investigation into the theft and possession of human remains by the Skull & Bones society, the Russell Trust Association, Inc. and/or any members of the US Government involved, past or present.

Sincerely.

This was a letter sent to the US Congress and signed by 8100 people!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom