Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
Wana JF naombeni mnielimishe kidogo mnachojua kuhusu huu mtandao wa freemasons.
>Je,ni jinsi gani wanafanya kazi katika jamii?
>Je kuna ukweli wowote kuhusu uhusiano kati ya fremasons na BABU WA LOLIONDO na SOCIAL NETWORKS kama Facebook,Tweeter nk?
>Ni nini malengo ya mtandao huu ambao mimi nauona ni hatari sana?
>Je,wanaweza vipi kumbadili mtu na kumfanya mwanachama wao?
>Je,kuna ukweli wowote kwamba kuna baadhi ya waimbaji wa muziki wa bongo flavour,hip hop nk ni members wa mtandao huu?
NB:SIHITAJI KUJIUNGA,NINAULIZA ILI NIWEZE KUPATA MAJIBU YA MASWALI MENGI AMBAYO NIMEKUWA NIKIKUTANA NAYO MTAANI.Na kama una maelezo zaidi ya kunisaidia kuelewa zaidi kuhusu mtandao huu naomba unijuze au website! Asante.
 
Conspiracy theories @work, ukweli kiduchu uongo debe. Leo asubuhi numemkuta mtu pembezoni mwa uzio wa kanisa la Anglican- saint Alban akipiga debe juu ya freemansons, nimejiuliza anapata faida gani sikupata jibu. Nahisi jamaa akili imemruka kwani huwezi kukaa na kupoteza mda kwa kueleza mambo yasiyoweza kudhibitishwa.
We unafahamu nini kuhusu hii kitu?
 
Ngojea utapata flu data ya hawa wapiga Kirsto! Utashangaa na roho yako!
 
georgewskullnbones.jpg

[h=1]Je tunajua nini kuhusu Freemasonry?[/h]

‘Freemasons wa Tanzania Waliojitokeza waziwazi na kujitambulisha ni kina Chande "Andy Chande" ambao ni matajiri wafanyabiashara maarufu. Katika mahojiano aliyofanya na mwandishi Muhiddin Michuzi wa gazeti la Sunday News la tarehe 3 April 2005, Sir Andy Chande alikiri kuwa anao wanachama zaidi ya 3,000 (yeye mwenyewe ni District Grand Master), na kuwa wamekuwa wakishirikiana na Rais Yoweri Museveni, Makamu wa Rais wa Kenya Moody Awori, na Rais Mstaafu Ben Mkapa (hakutaka kutamka wazi kuwa ni wanachama, lakini wapo watu wengine wanaofahamu kuwa hao aliowataja ni wanachama wa hiyo kitu, pamoja na Mzee Mengi). Alitamka kuwa mtu yeyote akishajiunga na freemasonry hawezi kutoka tena, kwa maneno yake "Once a freemason, always a freemason".
Tazama jibu la Sir Andy Chande alipoulizwa na Muhiddin Michuzi kuhusu yalipo makao makuu ya Freemasons nchini Tanzania: "It is located along Sokoine Drive, just behind the Kilimanjaro Hotel in Dar es Salaam. We have a licence to sell drinks to members; we have also been exempted by the government of Tanzania from registration We have the full blessings of the government. Once that building was about to be taken over for public purpose, but when I sent a memorandum to the State House, we got it back. You know, Mwalimu Julius Nyerere was not a Freemason, but he knew what Freemasonry is".
 
Ni kweli kwamba hawa jamaa wanamiliki mitandao ya kijamii kama vile facebook,tweeter nk?
 
Na pia huku mtaani nimesha wahi kusikia kwamba BABU WA LOLIONDO alitumwa na Freemasons,kuna ukweli hapa?
 
Na pia huku mtaani nimesha wahi kusikia kwamba BABU WA LOLIONDO alitumwa na Freemasons,kuna ukweli hapa?
Wewe ungekuwa mwanamke basi unaonekana ungependa upewe kila kitu, link zipo kwa nini usiingie usome mwenyewe ili ujuwe kile unachotaka kujuwa kuhusu wao? kwa nini utumie neno nasikia wakati unao uwezo wa kuprove? mwaka 2012 hatuhitaji watu wazembe maana wanaligharimu Taifa na mbaya zaidi gharama hiyo tunalipa wote.
 
akiuliza tena,ntakua na mashaka na IQ yake
 
Mtafute member anaitwa OTIS ''only iluminat can secceed''.hilo jina lake ni la free masons pamoja na hiyo signature yake.
 
Wewe ungekuwa mwanamke basi unaonekana ungependa upewe kila kitu, link zipo kwa nini usiingie usome mwenyewe ili ujuwe kile unachotaka kujuwa kuhusu wao? kwa nini utumie neno nasikia wakati unao uwezo wa kuprove? mwaka 2012 hatuhitaji watu wazembe maana wanaligharimu Taifa na mbaya zaidi gharama hiyo tunalipa wote.

Nimeuliza nahitaji kujua,we kama hauelewi chochote nyamaza,au kama haujisikii kusema chochote nyamaza pia. Kama wewe sio mwehu mimi nitaprove kwamba BABU alikuwa freemason au lah? Kwa kuwa wewe umeshatoa mchango wako tulia ili wale wanaojua zaidi waseme!
 
Si mashariti yetu kukupa kila kinachofayika kuhusu sisi kwa mtindo huu unaotaka wewe. Ukitaka kujua mengi jiunge nasi ili ufahamu kwa undani mengi zaidi kuhusu sisi. Vinginevyo hapa utapoteza muda bila kujua habari zetu ki undani.
 
Si mashariti yetu kukupa kila kinachofayika kuhusu sisi kwa mtindo huu unaotaka wewe. Ukitaka kujua mengi jiunge nasi ili ufahamu kwa undani mengi zaidi kuhusu sisi. Vinginevyo hapa utapoteza muda bila kupata hapari zetu kwa undani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom