Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Wana JF naombeni mnielimishe kidogo mnachojua kuhusu huu mtandao wa freemasons.
>Je,ni jinsi gani wanafanya kazi katika jamii?
>Je kuna ukweli wowote kuhusu uhusiano kati ya fremasons na BABU WA LOLIONDO na SOCIAL NETWORKS kama Facebook,Tweeter nk?
>Ni nini malengo ya mtandao huu ambao mimi nauona ni hatari sana?
>Je,wanaweza vipi kumbadili mtu na kumfanya mwanachama wao?
>Je,kuna ukweli wowote kwamba kuna baadhi ya waimbaji wa muziki wa bongo flavour,hip hop nk ni members wa mtandao huu?
NB:SIHITAJI KUJIUNGA,NINAULIZA ILI NIWEZE KUPATA MAJIBU YA MASWALI MENGI AMBAYO NIMEKUWA NIKIKUTANA NAYO MTAANI.Na kama una maelezo zaidi ya kunisaidia kuelewa zaidi kuhusu mtandao huu naomba unijuze au website! Asante.