Masonic Dollar
swali langu ni kuwa... Hizo alama za pembe tatu na jicho, zilikuwepo kabla ya kanzishwa freemaso mwaka 1700's. Jicho na pembe tatu kasome ni alama ambayo hata Catholic, Orthodox na wakristu hutumia kumaanisha utatu mtakatifu na uwepo wa Mungu na uwezo wake kuona kila mahali, na waanzilishi ni mitume wa yesu, kuna ushahidi wake Roma Wa picha ya karne ya 4 imeweka alama hiyo. Sasa sielewi tunaposhtumu kuwa ina maana mbaya wakati wakristu ndio wameikuza. Japokuwa hata kipindi cha Egypt civillization ilikuwepo.
Mi sielewi kabisa wenzangu. Hivi lini tutakaa tujue nini kinachoendelea hapa duniani? Mimi nina ndugu 3, wanaishi U.K, Ni wanachama wa freemason katika masonic lodge za Uk, blue scotish, bado wana dini yao na freemason sio dini ni organisation. Sijaona ubaya wao na wanajitangaza kabisa. Tatizo tunasikiliza maneno ya watu wanaotaka maumini wa kidini waende kwao na wawaone kuwa wanajua mengi. Me sitaki kuhukumu mtu. Jah bless.
nikweli ata hapa arusha kuna jumuia yao ya freemasonry tena hipo muda mrefu toka miaka 1969 ,
nikweli ata hapa arusha kuna jumuia yao ya freemasonry tena hipo muda mrefu toka miaka 1969 ,
mhhh! tambua kwamba alama zina maana mficho na hata kama unafikiri msalaba wautumiao baadhi ya wakatoliki ni msalaba uujuao wewe kwa maana ya kuumaanisha msalaba wa kikristo. huwa wanatumia misalaba yao waijuao wao wakimaanisha vitu vyao. msalaba ule ulio sawa sio msalaba wa yesu msalabani. msalaba wa yesu msalabani juu huwa mfupi chini mrefu kutokea katikati. na hilo jicho sio hilo la mungu wao hutumia kumaanisha mambo ya occult.
Apollo,una matatizo!Kwanza kubali hujui ili ueleweshwe!Jicho,msalaba na triangle havina uhusiano kabisa na ukristo,RC from the begining ni illuminat plan,don't trust them,Yesu alisema Mungu ni roho na wamwabuduo watamwabudu katika roho na kweli!Alama hizo asili yake ni babel iliyokuwa inaongozwa na Nimrodi,pembe tatu ina maana nyini ila mojawapo ni kiwakilishi cha utatu wa kipagani(Isis,Horus na Osiris)jicho ni symbol ya Lucifer,msalaba ni alama ya mungu mke(osiris)iliyokua inatumika kuangamiza miungu wageni,tafuta kwenye internet kitabu kinachoitwa Morals and Dogma,Lucifer the light berer!Kimeandikwa na Albert Pike!Nitarudi kukufafanulia zaidi!

Goodnes,msalaba ni uleule na una maana ileile,japokuwa hao waabudu shetani wana aina zaidi ya moja ya msalaba na kuna maana zaidi ya moja ya msalaba.Yesu aliuwawa msalabani kwa sababu hiyo ilikuwa alama ya mungu mke iliyokua inatumia kuangamiza miungu wageni au imani mpya,pia ulikua unatumika kama kuwaadhibu wahalifu.Hivyo Yesu aliuwawa msalabani ili kumuangamiza Mungu huyo "mgeni" alieleta imani mpya!Msalaba pia unatumika kama symbol ya 11 kwani ukitenganisha hizo mbao mbili ukazisimaendeleza harakat mbaba nadhan had hapo ulipo unajua mengi kuhusu dini unadhani ipi ipo sahihi mana wengi tumekariri hatujui chochote ndo kubadilika kwingi