Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
upuuzi mtupu wanajaribu kuteka fikra zenu ili m'bweteke, wenzenu wawe busy kufanya kaz.acheni ujinga fanyeni mambo ya msingi.
 
Nilikuwa nahitaji sababu ya kutajwa hayo makundi km ni wasaidizi wa freemason km rotary na lion.
 
Ndugu yangu kinyau, illuminati wapo kila sehemu,na wala usishtushwe na alama ya nyoka muhimbili kwa sasa utaumia kichwa tu. Kumbuka huu ni mfumo (order) iliyokuja baada ya ukoloni kwa kuwa our traditional ways hazikuwa na symbol hizi. Jaribu kufikiri nini maana yanyoka hospitali pamoja na ubaya wa nyoka kwenye maandiko ya mungu? jibu kizungumkuti ndugu yangu. Ila ngoja nikutoe tongotongo, Ukisoma kitabu cha mwandishi aneitwa Andrew Weil kinachoitwa "Health and Healing" basi utapata kujua historia ya nyoka hospitali. Pia angalia nembo za mataifa mbalimbali, hata ya tanzania, utaona Ill-Utouched-Masters-In-NATIons
 
O Lord, My God "the son of a widow needs help"
*williammusobi@gmail.com
 
MKuu Saidon hujaeleweka hapa!

Hapo kwenye green cjaelewa kabisa. Kitu gani kinaashiria illuminati kwenye nembo ya Tanzania?
 
Ndugu yangu kinyau, illuminati wapo kila sehemu,na wala usishtushwe na alama ya nyoka muhimbili kwa sasa utaumia kichwa tu. Kumbuka huu ni mfumo (order) iliyokuja baada ya ukoloni kwa kuwa our traditional ways hazikuwa na symbol hizi. Jaribu kufikiri nini maana yanyoka hospitali pamoja na ubaya wa nyoka kwenye maandiko ya mungu? jibu kizungumkuti ndugu yangu. Ila ngoja nikutoe tongotongo, Ukisoma kitabu cha mwandishi aneitwa Andrew Weil kinachoitwa "Health and Healing" basi utapata kujua historia ya nyoka hospitali. Pia angalia nembo za mataifa mbalimbali, hata ya tanzania, utaona Ill-Utouched-Masters-In-NATIons

Kaka kuna neno la mzungu lnasemaWE CHOOSE TO BELIEVE WHAT OUR MIND TOLD US..kwan kwangu mimi naona freemason ni imani potofu tu ambayo imewekwa kutufanya tuache mambo ya msingi...ukiniambia swala la nyoka kwe mahospitali nijuavyo mimi ilianzia kwe biblia pale Mungu aliposema atengeneze nyoka wa shaba awekwe kwe mti ili wale walioasi wakagongwa na nyoka wa Mngu wakiangalia wapone...so ndo inatumika kuwakilisha kinga...haya mambo sijui alama za kusalimiana,njia moja au nyengine hata mimi nawe tukikutan kiofisi lazima tushikane hivyo wanavyosema kifreemason..CHA UMUHIMU AMINI KATIKA MUNGU WA KWELI KWANI HAYO MENGINE HAYANA TOFAUT NA MUHINDI ANAVYOABUDU NG'OMBE....
 
Hook 'em, Horns! Go (University of)Texas!! (http://en.wikipedia.org/wiki/Hook_'em_Horns); (TexasSports.com - Official website of University of Texas Athletics - Texas Longhorns - Traditions)

Hivi, whats with Tanzanians and Freemasons? If you talk to some wasabato they believe the devil himself is with the Pope himself, 666 translated from his kofia, the staff he holds, and belief that the devil will one day come to sit on the highest table of the world i.e. the Security Council of the UN of which the Pope is a non-voting member, put there I believe during Ronald Reagan's presidency.

this fallacy about Freemasons does Tanzanians no good - ukishajua then what? They don't put no food on your table, no roof over your damned head, no clothes on your tired back, they even don't put siasas safi na uongozi bora into your damned community!!!

My opinion.....a waste of my motherfcuking time, really!!! I am entitled to my opinion-I am sticking to it!!
 
Apollo,una matatizo!Kwanza kubali hujui ili ueleweshwe!Jicho,msalaba na triangle havina uhusiano kabisa na ukristo,RC from the begining ni illuminat plan,don't trust them,Yesu alisema Mungu ni roho na wamwabuduo watamwabudu katika roho na kweli!Alama hizo asili yake ni babel iliyokuwa inaongozwa na Nimrodi,pembe tatu ina maana nyini ila mojawapo ni kiwakilishi cha utatu wa kipagani(Isis,Horus na Osiris)jicho ni symbol ya Lucifer,msalaba ni alama ya mungu mke(osiris)iliyokua inatumika kuangamiza miungu wageni,tafuta kwenye internet kitabu kinachoitwa Morals and Dogma,Lucifer the light berer!Kimeandikwa na Albert Pike!Nitarudi kukufafanulia zaidi!

kwako kila kilichoandikwa na kuwekwa mtandaoni ni ukweli usio na mawaa ? pole sana bro.
 
acheni kupeana presha. Kama una hekima ya kutosha find out nani anayezitoa habari zao.? Utakuja kugundua ni wenyewe. Sasa basi fikiri kwa makini uelewe mambo kimsingi.
 
Who did they kill? Hawa jamaa hawana la maana. Imagine kama watu wenye maarifa bongo wakaunda tawi la networking. Wataogopwa na watu wengi maana ni watu wenye akili na wanashika usukani katika nyanja mbalimbali. Halafu hapo hapo, kujiunga nao ni vigumu, basi porojo za mtaani hazitachelewa kuanza.

uko sahihi katika hili,lakini katika hoja ya uwepo au kutokuwepo kwa Mungu,sijui ulikumbwa na nini,kwani nawe ulijitokeza na kuonyesha kukurupuka kama hawa waliopumbazwa na kukosa kweli juu ya jamii ya freemasons...
 
kwako kila kilichoandikwa na kuwekwa mtandaoni ni ukweli usio na mawaa ? pole sana bro.

Kabla sijakuambia kwanini naamini ninachoamini,hebu niambie,je unaamini dunia ni mviringo?Kama ni ndiyo kwanini unaamini hivyo?
 
acheni kupeana presha. Kama una hekima ya kutosha find out nani anayezitoa habari zao.? Utakuja kugundua ni wenyewe. Sasa basi fikiri kwa makini uelewe mambo kimsingi.

Hivi mwizi akijitangaza kuwa yeye ni mwizi inaondoa ukweli wa kuwa yeye ni mwizi?
 
Ni kweli Kanumba alikuwa mwanachama wa Freemason?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom