kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Mkuu ...don't ridicule mawazo ya wengine kama huna hard evidences au reasonable counter-argument!Wewe ni siri ngapi za Freemason unazijua?Na aliyesema hawa jamaa sio devil worshipers ni nani?They are devil worshipers alright na ni watu hatari kwa spiritual well-being ya watu wengine.Watu wanapenda kujua habari za hawa jamaa,so sioni tatizo hapo.Na kwa taarifa yako,may be unatumia kila kitu kutoka kwao bila kujua... from Redio unayoisikiliza,Tv na vipindi unavyoangalia,vinywaji unavyotumia,baadhi ya vitabu na magazeti unayosoma,lotion unayopaka,muziki unaousikiliza..nk....Ref...1,Manly P. Hall.."The Secret Teaching of all ages"....2,Albert Pike...."Morals and Dogmas" na The Vigilant Citizen » Discover the hidden symbolism in music videos, movies and famous landmarks around the world
Bingwa hujaelewa kitu gani mi nasema!
Nimekwambia hawa freemason ni watu wanao abudu mashetani.
Na ni kundi lililoundwa na matajiri duniani.
Kwa hivyo. Logic tells you. Kuwa vitu vingi tunavyo tumia vinatengenezwa na makampuni ambayo yanamilikiwa na hao matajiri.
Kitu nilichosema hapa ni kuwa.
Hawa jamaa hawana lolote la ajabu!
Zaidi ya kuwaacha watu kwenye vichwa vya habari tu!.
Watu wana exaggerate saana kuhusu hawa freemasons!
Ohhh..wanaua ukiwachezea. Ohhh.. ni very dangerous organisation. Ohhh.. wakikutaka basi huna pa kukimbilia!!
Na mengine meengi!
Hawana chochote cha ziada. Zaidi ni hizo pesa zao tu ambazo nyingi chanzo chake ni dhulma tu.
Kwa hiyo watu wasiwatukuze wakawaona wao baab kubwa.
Wamejaa uharo wa ubepari tu. Hamna lolote la ziada.