Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
kama kulikuwa kuna agenda ya kuisafisha freemason na kuifanya ifahamike zaidi miongoni mwa waaafrika, basi hakuna shaka agenda hiyo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana.

kwa sasa freemason sio habari tena ya kumshitua mtu. nadhani hilo ndio lilikuwa lengo hasa la freemason.
 
Niko tayari kutoa chochote kile ili nijiunge na hii chama,
Mwenye kujua namna ya kujiunga anisaidie plz
Mwenye ako tayari kunisaidia aje PM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom