Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
Ushahidi upo kila mahali ukiutaka utaupata.Halafu duh,na uovu wote walio nao bado unawakingia kifua,It's unimaginable.
[/QUOTE
Kama upi?Huu wa wabongo sijui Kanumba mara Diamond,au Gwajima?
 
thanks kwa post yako kabambe... je ni kweli usalama wa taifa na secret service nyingi duniani wanakua members hizo ndudeeeee?!?!?
 
Member wengi waliochangia uzi huu wamechangia kwa sababu ya UOGA WA WASICHOFAHAMU. This thread is too biased. Muwe mnasoma angalau vitabu, sio unacomment kwa sababu ya UOGA utokanayo na kufumbwa akil na dini.

Karne hi Bado mnachukulia mambo kimihemko ya kidini na uoga wa usichofahamu??????

Mbona vitabu vingi vimeandikwa, tatizo hamsomi vitabu na mnakuja kucomment msichokijua?? Shame on you.

Tafuta vitabu hivi msome, viko straight forward na havina chembe ya biases.

SECRETS OF THE SOLOMON'S TEMPLE

BORN IN BLOOD, THE LOST SECRETS OF FREEMASONRY

THE SECRET SCIENCE OF MASONIC INITIATION

FREEMASONRY AND BIRTH OF MODERN SCIENCE.


Sio mnacomment comment shit kisa mmekalili biblia na misahafu.


(Siko upande wa Freemasonry, ila nimeshangqzwa na comment za kimihemko za kukurupuka. You fear what you don't know???????)
 


Cha kushangaza utakuta na we una mke na watoto kabisa!!!!!!
 
Usiweke mbele mihemko ya imani yako kama unataka kuwa mpashaji mzuri wa habar mfano umegusia makundi ya watu wanaojiunga ktk hiyo secret society.


Yaani mkuu na mm nimeshangaa kuona michngo ya watu humu.

Nyie members, embu kasomeni hata historia ya PYTHAGORAS, PLATO, ARISTOTLE, SOCRATES, MOSES etc In relation to SECRET SOCIETIES.

Msiwe mnabwabwaja bwabwaja kimihemko na uoga wa msichofaham
 


Mkuu kwani kipi cha ajabu hapo??? Usiri?? Unadhan usiri umeanzia kwa Freemasonry?? Tafuta PYTHAGOREAN SECRET SCHOOL uone viapo vyake kabla haja-muinitiate mfuasi wake.

Acheni upopoma someni vitabu
 

Can we have the list of freemasons in Tanzania?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…