Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
Mkuu kwani kipi cha ajabu hapo??? Usiri?? Unadhan usiri umeanzia kwa Freemasonry?? Tafuta PYTHAGOREAN SECRET SCHOOL uone viapo vyake kabla haja-muinitiate mfuasi wake.
Acheni upopoma someni vitabu
Unajua mkuu sababu ya watu wengi kua mkristo au mslam au mpagani au dini zetu za asili ni kwamba dini zimekua wazi nakufanya vitu vyao kwa uwazi kabisa, na isitoshe tunaona hata baadhi wa waumini ambao ni jirani zetu wakitoa shuhuda za mabadiliko katika maisha yao hata wewe unalijua hilo, kitu kinachotupa hofu kuhusu hio imani kupata kujua vitu vyao sio rahisi na mambo mengi yamekua yanasemakana na hatuna uhakika kama ni kweli.
sasa wewe unatuambia tusome vitabu, hivo vitabu vimetolewa na hao freemason?, kuna uhakika kama wao ndio wameviandika na wanataka tuvisome ili tuwajue zaidi, naanzaje kuamini wakati simjui hata mtu anaemini zaidi ya kusikia tetesi tu. hiyo ndio sababu ya kuona watu wana uliza maswali hayo, watu wanachokitaka kuwepo na sehemu na sehem ambapo tunawaona hata wakiabudu, kuficha ficha kumefanya kue na mambo mengi sana ambayo si ya kweli.
haya wewe unaowaambia wasome vitabu unaproof yoyote tangible kuhusu hao jamaa? nafikiri ingekua vizuri kama unafahamu kitu tudokeze kidogo tupate kujua vitu. mkuu it seems unajua vitu tudadavulie tu hakuna namna.
 
My,huna unalolijua...hayapungui 900 takwimu ulipata kwa shehe yahya?au kwenye vijiwe vya kahawa, Mimi ni member kwenye hizo org, lions wapo zaidi ya 1.3m, sio member tu Bali ni kiongozi nicheki private nikupe elimu tuongee kwa ushahidi na vielelezo sio reference za kihuni.namba yangu ni 0754608152/0759005000, nikupe elimu, kweli usilolijua ni usiku wa Giza,Mimi ni snr.member na nipo GLT/GMT pia
Sio yote wafaa kuyajua..
 
Ndo hayaaaa,ukipata hii clip uksisikiliza huyu aliyekuwa mchungaji kwa kutumia hizo nguvu,hamu ya kuombewa kwa kuwekewa mikono itakuishaView attachment 1340133

Sent using Jamii Forums mobile app
Si vizuri kuwekewa mikono na kila anayejiita Mchungaji au Mtumishi mkuu,jiombee mwenyewe.Mbona uwezo huo unao kama umekiri wokovu na unaishi maisha matakatifu?Mtakuja kupandikiziwa mapepo.
 
Uovu gani mkuu?? Mm nawakubali kinyama

Kwanza Ni watu wanaoamini ktk juhudi na matumizi ya akili kwa kiwango cha juu.

Kizibo
Kizibo,most likely wewe ni Freemason,ila of a lower degree below 3.Ukweli wa uovu wao unaanza kufunuliwa kwa wanachama above three degrees.

Kizibo hivi watu wanaoua ili wanywe damu;wanao toa makafara ya watoto;wanaotumia aborted foetuses for their rituals;wanaotesa watoto wadogo ili wapate Adenochrome,a human hormone ambayo wanadai eti inaleta ujasiri na kurudisha ujana;wanaobaka watoto as a form of torture;wanaotumia kila mbinu ovu na chafu kupata fedha na kutawala wenzao kwa hila na kwa nguvu;wanaokunywa damu ya hedhi za wanaoitwa Scarlet Ladies,utawapendaje?And that is what Freemasons are!

Na kumbuka, hayo niliyo yataja ni machache tu,the list is long.Unashangaza kiukweli.

Kumbuka,and please remember,wanadamu tupo tulivyo leo:mateso mengi ya vita,maradhi yasiyotibika,njaa,mabadiliko ya hali ya hewa yanayotuletea dhiki nyingi ni kwa sababu ya vikundi hivyo viovu vya siri.Viko vingi,sio Freemasons tu,lakini agenda yao ni moja: kuiweka dunia chini ya utawala wa Shetani,Dajjal or the Antichrist,kwa kutumia kila mbinu ovu na chafu unimaginable!Utawala huo utakuwa wa kiwango cha ukatili ambacho binadamu hawajawahi kushuhudia.Covid-19 ni utapeli wao mkuu wa kutupeleka huko.Na yanayoendelea kwenye janga hili,kufungiwa ndani,kupewa fedha za kujikimu bila kazi,social distancing nk.ni conditioning kwa ajili ya kipindi hicho.Hii wanayoiita chanjo,ambayo kiukweli sio chanjo,ni maandalizi.
Sasa how can you like them,huwajui mkuu.

Niliyoyaeleza hapo juu ni sehemu ndogo sana ya uovu wao,there is much much more.Narudia, utawapendaje?Sikuelewi.
 
Kizibo,most likely wewe ni Freemason,ila of a lower degree below 3.Ukweli wa uovu wao unaanza kufunuliwa kwa wanachama above three degrees.

Kizibo hivi watu wanaoua ili wanywe damu,wanao toa makafara ya watoto,wanaotumia aborted foetuses for their rituals,wanaotesa watoto wadogo ili wapate Adenochrome ya kuleta ujasiri au kurudisha ujana,wanaobaka watoto,wanaotumia kila mbinu ovu na chafu kupata fedha na kutawala wenzao kwa hila na kwa nguvu,wanaokunywa damu ya hedhi za wanaoitwa Scarlet Ladies utawapendaje.And that is who Freemasons are!Na remember hayo niliyo yataja ni machache tu,the list is long.Unashangaza kiukweli.

Kumbuka,and please remember,wanadamu tupo tulivyo leo:mateso mengi ya vita,maradhi yasiyotibika,njaa,mabadiliko ya hali ya hewa yanayotuletea dhiki nyingi kwa sababu ya vikundi hivyo viovu vya siri.Viko vingi,sio Freemasons tu,lakini agenda yao ni moja: kuiweka dunia chini ya utawala wa Shetani,Dajjal or the Antichrist,kwa kutumia kila mbinu ovu na chafu unimaginable!Utawala huo utakuwa wa kiwango cha ukatili ambacho binadamu hawajawahi kushuhudia.Covid-19 ni utapeli wao mkuu wa kutupeleka huko.Na yanayoendelea kwenye janga hili,kufungiwa ndani,kupewa fedha za kujikimu bila kazi,social distancing nk.ni conditioning kwa ajili ya kipindi hicho.Hii wanayoiita chanjo,ambayo kiujweli sio chanjo,ni maandalizi.
Sasa how can you like them,huwajui mkuu.

Niliyoyaeleza ni sehemu ndogo sana ya uovu wao,there is much much more.Narudia, utawapendaje?Sikuelewi.
Mkuu nataka tu kuelewa tu, ni jinsi gani corona imesababishwa na lengo hasa ni lipi?
 
Mkuu pole Sana. Mimi sio Freemason.

Pili, JE WAJUA (KWA MUJIBU WA BIBLIA TAKATIFU) KUWA MUNGU ANATOA KAFARA NA ANALIPA KISASI??

Kama unabisha sema niweke ushahidi wa kifungu
 
Mkuu pole Sana. Mimi sio Freemason.

Pili, JE WAJUA (KWA MUJIBU WA BIBLIA TAKATIFU) KUWA MUNGU ANATOA KAFARA NA ANALIPA KISASI??

Kama unabisha sema niweke ushahidi wa kifungu
Najua,ila yeye ndiye aliyejipa mamlaka hayo tu,kwa kuwa hukumu zake ni za haki,na hiyo ilikuwa wakati wa sheria,kwa wale wasioitii sheria.Under the New Testament,that is all over,sasa tunaokolewa kwa neema.

Kwenye underground socities,including Freemasonry,this is never mentioned,because it will make you love the true God,and hate Satan.Nia yao ni wewe umpende Shetani,kwa hiyo wanajaribu kumpaka the God of Jacob matope ili aonekane mbaya.

Anyway kama sio Freemason,nakushauri usiingie huko,kwa kuwa utatamani kutoka baadae,na hutaweza.Na uki-force kutakuwa na serious consequences.
 
Kumbe unamjua mtetezi wako![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi siko Ulaya na sio shoga,kwa hiyo kwa hiyo Lissu hawezi kuwa mtetezi wangu.Lakini kwa bahati nzuri,mimi sio shoga,na sitakuja kuwa shoga,kwa kuwa ni dhambi na kinyume cha maagizo ya Mungu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom