fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
OkKwa hiyo Freemasons ni version nyingine ya mafisadi wanaolindana kimtandao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkKwa hiyo Freemasons ni version nyingine ya mafisadi wanaolindana kimtandao!
Ni jamii ovu sana aisee,there is nothing evil they cannot do.Hawa na vikundi vingine vya siri viovu kama Illuminati,Skull and Bones,Knights of Templar,Jesuits,FREEMASONS walianza kimya kimya na masharti ya siri... walipingwa mwanzoni na jamii hadi mwanzilishi kufukuzwa nchini. Wakaanza kampeni zao kupata nguvu za kisiasa ili kueneza jambo lao. Wanahusika na mapinduzi ya Ufaransa na sehemu nyingi za ulaya ya zamani. Ni waanzilishi wa marekani - ndipo walipopata makao makuu na nchi yao. Wazito wengi hapa duniani leo ni wanachama - hadi wakuu wa dini potofu... yaani sasa hata dini wameiteka. Uchumi wa dunia mikononi mwao.
Swali la ufahamu - mbona sasa sio siri kama zamani? Jibu langu - wanajisikia 'WAMEFIKA MALENGONI' sasa imebaki utekelezaji. Majenerali hatutawajua wazi wazi ila ukichunguza mawasiliano yao na wanavosalimiana - utawajua. Nahisi hawa majenerali sasa Wanakusanya mgambo wazi wazi sababu hata mgambo akijulikana sio ishu. Sidhani anaeingia freemason leo atapanda cheo kirahisi wala kujuo uongozi wa juu. Chama kimejaa vichwa - wewe mpya ni chambo tu mgambo tu
yaani aisee wanatengeneza dunia yao hatua kwa hatua na sasa wako karibu kila sehemu inayohusika na uzima wa dunia ya leo. Wakimshinda mwanadamu mwenzao (sisi) kitakachofuata ni vita na Mungu...Ni jamii ovu sana aisee,there is nothing evil they cannot do.Hawa na vikundi vingine vya siri viovu kama Illuminati,Skull and Bones,Knights of Templar,Jesuits,
Knights of Columbus,Order of St. Hubertus,
Rosicrucians nk.,ndio
walioipindua Dunia upside down.
Uko sahihi kabisa mkuu,Kama wanadamu wengi tungepata ufahamu ulio nao,nadhani tunge-wamudu,mbona ni wachache sana.yaani aisee wanatengeneza dunia yao hatua kwa hatua na sasa wako karibu kila sehemu inayohusika na uzima wa dunia ya leo. Wakimshinda mwanadamu mwenzao (sisi) kitakachofuata ni vita na Mungu...
Kadri dunia leo tunavoelimika na majamboz yanavofichuka tumeanza kutambua... kabla ya hapo walitudanganya wakaviremba hadi wengine wetu kujiunga na vikundi hivi bila kujitambua wala kuvielewa
Freemason na Illuminantni waanzilishi wa dini zote wameanzisha wao na ni lowest degree ambayo kila mtu lazuma ajiunge nazo ili wao waweze kuteka mawazo,fikra na mda
Please elaborate!True religion is ungodly
Kuna mwenzako kauoizwa juu huko .Please elaborate!
hapana freemason ni asiliBoss it's time yako sasa watakutafuta ujiunge, uko top sana sasa.
Nachelea sana kusema freemasons hasa waanzilishi are those who read and understand Bible very well.
munakosa raha ya maisha wakati ipo sio devil wala nin.... ishi kula raha tumia ubongo wako 100% ""Live fucking good life""Boss it's time yako sasa watakutafuta ujiunge, uko top sana sasa.
Nachelea sana kusema freemasons hasa waanzilishi are those who read and understand Bible very well.
Member wengi waliochangia uzi huu wamechangia kwa sababu ya UOGA WA WASICHOFAHAMU. This thread is too biased. Muwe mnasoma angalau vitabu, sio unacomment kwa sababu ya UOGA utokanayo na kufumbwa akil na dini.
Karne hi Bado mnachukulia mambo kimihemko ya kidini na uoga wa usichofahamu??????
Mbona vitabu vingi vimeandikwa, tatizo hamsomi vitabu na mnakuja kucomment msichokijua?? Shame on you.
Tafuta vitabu hivi msome, viko straight forward na havina chembe ya biases.
SECRETS OF THE SOLOMON'S TEMPLE
BORN IN BLOOD, THE LOST SECRETS OF FREEMASONRY
THE SECRET SCIENCE OF MASONIC INITIATION
FREEMASONRY AND BIRTH OF MODERN SCIENCE.
Sio mnacomment comment shit kisa mmekalili biblia na misahafu.
(Siko upande wa Freemasonry, ila nimeshangqzwa na comment za kimihemko za kukurupuka. You fear what you don't know???????)
Dah,Nights of Tempars!!??Ni an evil underground society tu kama zingine hakuna tofauti yeyote.Malengo yao kwa wanadamu ni yale yale:conquer,kill and enslave by any means possible.Their slogan is, "the end justfies the means."nasikitishwa sana kuona matangazo mbali mbali ya freemason ambayo yanahamasisha watu kujiunga.
hiki kikundi kinamtafuta mtu na sio mtu kujiunga nao. lazima uwe vizuri katika jambo ama mambo fulani na uwe umekubalika kweli ndio wakufikirie!
binafsi nawakubali sana Knight Templars