Mcheza Karate
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 690
- 350
Kila mmoja wao amekuwa akieleza namna anavyojua kuhusu FREEMASON.
Kuanzia MEDIAs, magazeti, na hata mtu mmoja mmoja.
Vile vile kumejitokeza watu ambao wamebuni na kuanzisha mitandao(website) wakizifanya eti ni official website ya FREEMASON.
Huwa naishia kucheka tu, ILA LEO NI FURSA PEKEE YA WATANZANIA WOTE KUIFAHAMU FREEMASON.
Kabla sijaenda mbali kuna bwana mmoja alijitambulisha kama sir Andy Chande, ni kiongozi wa Freemason East and central Africa,
Leo mjue ukweli, japo mimi si msemaji, lakini huyo bwana hatumjui na hakuna cheo kama alichojitambulisha nacho.
nijuavyo Father Damian Irungu ndiye kiongozi wa master/gland lodge zote za kenya na ndiye anasimamia za Goma, Moshi, na Entebe. ila sikatai Sir Chande kuwa januari 2010-2012 amewahi kusimamia michango ya moja ya "nyumba zetu".
Na kama atatokea hadharani kubisha ukweli huu, nami nipo tayari kujitokeza tukakaa mezani tukahojiana ukweli.
Nakaribisha maswali nami nitajibu kwa wepesi kadri niwezavyo.
karibu
"mungu pamoja nasi",