Freemasons ndani ya Makanisa

Freemasons ndani ya Makanisa

Sawa, je hiyo inahusiana vipi na masonic
karibu tujadiliane, je huoni kuwa huko kusali kumejificha nyuma mgongo wa shetani....ambaye ndiye anayewatumia mawakala wake freemasons

na kazi kubwa ya kuingiza hizo taratibu, na mfundisho kama unyakuo wa siri, sikukuu za kipagani, kuzalisha manabii fake zinafanywa na kikundi kiitwacho KNIGHT OF TEMPLAR
 
Mkuu ujumbe wote huo kisa tu usabato wote ni wakristo msigombanie fito.
Mkuu kwanini tusijadiliane kwa nhoja? kama umesoma vizuri utaona ha wasabato nimewachambua, binafsi mimi sio mfuasi wa madhehebu nilishatoka huko kitambo, mimi ni free minded, sishikiwi akili na viongozi wa dini
 
Kazi kweli kweli, Kanisa ni moja, Takatifu , la Mitume, nalo ni Katoliki tu. Hiyo bibilia unayoisoma na ku quote wamekuandalia wao na wanaijua kuliko wewe. Hao vichaa kina Hellen G white, Smith ambaye alikuwa ni freemason kabisa yani wamekuja juzi tu na wamebeba mabumunda kama wewe.
SIPO KUSHINDANIA DINI WALA DHEHEBU NAPENDA TUSHINDANE NA KUJIBU AU KUPINGANA KWA HOJA, BILA KEJERI AU DHIHAKA

Mwanamke (yule Babeli) wa Ufunuo 17 anaelezwa kuwa

“alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake. Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, Siri [2 The. 2:7], Babeli Mkuu, Mama wa Makahaba” [Ufu. 17:5, KJV].

Asema hivi yule Nabii:

“Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu.” Babeli anatangazwa tena kuwa ni “mji ule mkubwa wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.” Ufunuo 17:4-6,18.
ae7a1c4de023bbda2da0a25e30e725f6.jpg

Tyndale aliuliwa na utawala wa kipapa kwa kutafsiri biblia...

Mamlaka ile iliyodumisha utawala wake wa kidikteta juu ya wafalme wa Ulimwengu ule wa Kikristo kwa karne nyingi ni Roma. Rangi ile ya zambarau na nyekundu, dhahabu na kito cha thamani, na lulu, huonyesha waziwazi picha ya utukufu wake na fahari yake iliyozidi ile ya kifalme [angalia pia rangi za sare za viongozi na mapambo yao],
da95cf61b762f5a8bb3ffa13c0e24c5f.jpg

b601c77df03518a6574d5fdbdf97b1ea.jpg

mambo ambayo jimbo lile la Roma ( Vatikani), lenye majivuno makuu, lilijigamba kuwa nayo. Wala hakuna mamlaka [serikali] nyingine ambayo kweli ingetangazwa kuwa ilikuwa imelewa kwa damu ya watakatifu,” kama ya kanisa lile ambalo kwa ukatili mbaya sana limewatesa wafuasi wake Kristo.

Babeli pia anashtakiwa kwa dhambi ya kuungana isivyo halali [kuzini] na “wafalme wa nchi.” Ilikuwa ni kwa njia ya kujitenga mbali na Bwana, na kuungana na washenzi [wapagani], ndipo kanisa lile la Kiyahudi likageuka na kuwa kahaba [Soma Ezekieli 23]; naye Roma [kama kanisa], akifanya uasherati [ukahaba] unaolandana kabisa na ule na kutafuta msaada [kuungwa mkono] toka kwa mamlaka [serikali] zile za kidunia, anapata lawama iyo hiyo.
 
Nimeichunguza kiundani hii nembo ya waSDA imedesigniwa kiujanja sana huo msalaba umegeuzwa juu chini ila hadi utulie kuangalia kwa makini !!! View attachment 2104534
Digrii ya 18 inayoitwa ‘Knight of Rose Croix’ hushughulika na elimu ya aina za misalaba na jinsi ya kufanikisha kuziingiza ndani ya taasisi na madhehebu mbalimbali kwa imani ya Illuminati na freemason na kwa kweli freemason wa digrii hiyo wamefanikiwa kwa kiwango cha juu kabisa kuingiza aina nyingi za misalaba ndani ya makanisa na taasisi bila ya waumini kujua maana ya misalaba hiyo

Unapaswa kujua kanuni tatu ( 3) muhimu ambazo ndizo msingi wa freemason/illuminati:

1)Thesis x Antithesis = Synthesis;

2) Hesabu na namba za freemason; na

3)Alama na ishara za freemason.

Huwezi kuelezea freemason kwa ufasaha kama hutazingatia kanuni hizo tatu. ‘Thesis x Antithesis = Synthesis’ ndiyo kanuni inayotawala kwa freemason na kutekelezeka kwake kunategemea hesabu na namba pamoja na alama na ishara za freemason. Kwa nini wanatumia kanuni ya alama na ishara? wanasema “By symbols…is a man guided and commanded… ” wakimaanisha
kuwa “watu huamrishwa na kuongozwa kwa kutumia alama”
.

Ndio maana hata waumini wengi wanaongozwa kwa kutumia alama ama ya nyota ya pentagram, jua, mwezi au msalaba. Kwa nini wanatumia kanuni ya namba? Kwa sababu “Occultists Worship
Numbers and numbers have power”
. Hivyo kama umepungukiwa na moja ya kanuni hizo
ni wazi SIO KILA JAMBO UTAWEKEWA WAZI

HAPA CHINI NAKUPA MFNAO WA NEMBO YA KANISA LA PRESBYTERIAN YENYE MAANA YA WAZI NA ILIYOJIFICHA AMBAYO WAUMINI WABISHI NA WASIOSOMA HAWAELEWI

1643315640184.png

1643315496501.png

HII NDIO Thesis x Antithesis = Synthesis
 
Kwa hiyo hao jamaa wanarap tu baada ya kuiga mziku wa rap?
unatakiwa ujue kwanza utendaji kazi wa shetani huwa anachanganya ukweli na uongo, unaweza kuniambia hii staili ya kuomba kwa kufoka foka , hawa wanaojiita walokole wameiiga wpi? tambua ulokole umekuja juzi tu miaka ya 1900, shetani amekuwa akiingiza mambo ya ulimwengu kwenye makanisa au kuyabadilisha kidogo na kuyapa sura ya ukristo ..
 
Kwa bahati mbaya huyo Mungu wa dini zote ni Mmoja, na ndiye huyo huyo aliamua kuleta tofauti hizi za dini kwa madhumuni yake mwenyewe.

Muumba wa kweli Alishasahaulika zamani sana ,pale taifa lake la watu halali(black people) ktk dunia hii walipomuhasi na kukumbatia tamaduni za wapagani(white people).

Hicho kitabu chenu muitacho biblia mbona mnatumia ile ile waliyokuwa wakiiitumia wakatoric pia kama hayo madhehebu yalijiona yako sahihi basi yasingeishia tu kuhariri mifumo ya kanisa, bali walitakiwa kufumua mpaka maandiko ktk biblia ambayo baadhi hayakuwa halali maana yaliandikwa kwa kupotosha na uongo mwingi, hivyo basi ingehitajika wao Kama wanae Roho mtakatifu awaongoze walete maandiko yasiyo na makosa, pia kurudisha baazi ya vitabu vilivyofutwa kwa makusudi.

Shetan ndye anaeabudiwa na Dini zote na makanisa yote.
Hakuna nabii,mchungaji, askofu, mtume ama mwinjilisti wa kwel nyakati hizi, kwakuwa nyote mnafundisha uongo ule ule uliowekwa na mrumi.

Hivyo basi ili kumtambua mtumishi wa kweli nyakati hizi ni lazima akanushe uongo wa mafundisho ya dini zote, pia aoneshe madhaifu ya misahafu yote, pia kufunua mikanganyiko ya vitabu hivi vya dini bila kumuonea aibu mtu yeyote kuwa atachukia ama atakuwaje.

Shetan tangu afukuzwe ktk imaya ya viumbe wa roho(mbingu) aliamua kujimilikisha hii dunia, kwanzia kujipa cheo cha Umungu, pia kuchukuwa mamlaka ya urithi wa mtu mweusi kwa kuukabizi kwa taifa feki la hao watu weupe,ili aitawale dunia atakavyo.

Nowadays shetan ni huyo aitwae kwa majina tofaut tofaut ktk dini, mfano Allah, Jesus, Jehovah, elishadai,elohim, alpha and Omega, Mwenyezi Mungu, bwana, haya yote ni majina yake ktk uhusika tofaut kulingana na mazingira,tamaduni na jamii husika hapo ndipo chanzo cha dini zote.

Hakuna ukweli wowote ktk biblia&quran mnapoteza muda wenu buree kuviabudu viumbe visivyo halali.

mkoloni si mjinga kukupa biblia eti akusaidie ww kwenda mbingun kwa upendo gani kwako?, kwanza hizo mbingu zao hazipo na hazijawai kuwapo, bali kuna ulimwengu wa viumbe wa kiroho ambao ni tofaut na hayo mastor yenu ya uongo eti kuna malaika, sjui kuna wazee24 na Mungu akizungukwa huo ni uongo mkubwa.

Ulimwengu wa Roho ambao viumbe wa Muumba wanaishi unajumuishwa na viumbe halali ambao wao wana asili sawa na mtu wa kwanza kuumbwa, ambae ni mweusi, ktk dini zenu hawawez kuwaambia haya mambo, ila ukwel ni kwamba malaika,maserafi& makerubi mionekano yao wote ni mfano wa mtu mweusi aliyeumbwa kutoka ktk materials za udongo, pia spiritual DNA zao ni sawa na mtu mweusi ambaye ndie mtu Original tofaut na hizo rangi zingine za laana ambazo zlkuja dunian kwa bahat mbaya kwa malengo ya kumtawala mtu mweusi,kumtumikisha na kuiharibu asili ya dunia kama vile baba yao shetan(jesus/azazel,Allah,yehova) apendavyo kuiharibu dunia.

Kuna mengi ya kujifunza, next time nitawawekea references
1643672916820.jpg
 
Kuna mengi ya kujifunza, next time nitawawekea referencesView attachment 2104578
Mkuu mwaga material hapa tuchanganue.
 
Is massonic evil? maana hata hiyo propaganda ya ubaya ilienezwa na hilo hilo kanisa katoliki mnalolisema kwamba ni sehemu yake baada ya kuona linapoteza ushawishi wake kutokana na hawa jamaa kuwa na maarifa ya kuwafungua watu dhidi ya utumwa wa kanisa...
 
Muhimu ukiwa unafanyakazi,uko responsible kwa wanao uliowaleta hapa Duniani basi. Hayo mambo sijui nini mizinguo tu
 
karibu tujadiliane, je huoni kuwa huko kusali kumejificha nyuma mgongo wa shetani....ambaye ndiye anayewatumia mawakala wake freemasons

na kazi kubwa ya kuingiza hizo taratibu, na mfundisho kama unyakuo wa siri, sikukuu za kipagani, kuzalisha manabii fake zinafanywa na kikundi kiitwacho KNIGHT OF TEMPLAR
Hiyo inamwathiri vipi muumini wa kawaida?
 
Hiyo inamwathiri vipi muumini wa kawaida?

INAMUATHIRI KUWA MTUMWA WA WATU, KULISHWA MAFUNDISHO YA UONGO AKIDHANI YA UKWELI, NA MWISHO WAKE KUIPOKEA ALAMA YA MNYAMA​

WITO...

Ufu 18:4 SUV​

Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.

YOHANA 4​

22Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi. 23Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu. 24Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.​

Mt 15:9 SUV​

Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu.
 
Hatari sana, walokole na rap hebu fafanua kidogo hapo
Rap kufoka foka ilianzishwa na mablacks wapigania usawa wakipinga dhuluma za kuonewa na weupe enzi za ushenzi kabla dunia haijastarahabika. Rap ilitokana na stress na misongo ya maisha ya kibaguzi.

Ilipopata umaarufu freemason wakajipenyeza Ili kuendesha harakati zao kupitia music Ili kuwaharibu vijana kwa kuwafunza ngono, mauaji, vurugu, ushoga, bange, pombe, madawa, ubabe, utemi, kupenda zaidi anasa nk. Freemason ndio wanamiliki lebo zote kubwa za music na filamu duniani kwa lengo kuu la kuibomoa jamii.

Miaka ijayo wanaume wengi watakuwa hawana tena uwezo wa kuzaa wakiwa ni mashoga.Lengo ni kukifuta hiki kizazi.
 
Back
Top Bottom