Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
- Thread starter
- #121
HAKUNA MAHALI NIMEKATAA HOJA ZA WENGINETatizo lako una majibu yko pmbni kwaio hutaki hoja za wengine we endelea tu na maisha yko
Pia inajulikana wazi kwamba kiti cha upapa kilitoka katika upagani wa Uislamu; Alexander Hislop, akizungumza juu ya kiti cha enzi cha Petro au kiti cha enzi anachokalia Papa, anasema “wakati askari wa Ufaransa chini ya Jemedari Bonaparte walipoimiliki Roma mwaka 1795, walikuta nyuma yake, kwa Kiarabu, sentensi hii inayojulikana sana kutoka kwenye Korani, “Hakuna mungu ila Mwenyezi Mungu, na Mohhomed ni Mtume Wake” — (The Two Babylons, Page 213, Chapter 6, Religious Orders, Section L).
Je Kanisa katoliki linafundisha nini kuhusu dini ya Uislamu? Katekism ya katoliki inasema: “Mpango wa wokovu pia unajumuisha wale wanaomkubali Muumba, katika nafasi ya kwanza miongoni mwao ni Waislamu, hawa wanasema kuwa wanashikilia imani ya Ibrahimu, na pamoja na sisi wanamsifu Mungu mmoja, Mungu mwenye huruma, hakimu wa wanadamu siku ya mwisho.” — (Catechism of the Catholic Church #841)
Hivyo, Kanisa Katoli lilivumbua na linakili kwamba wao na waislamu wanaabudu Mungu mmoja tu. Naamini Katekisimu yao inasema ukweli; kwamba wakatoliki na waislamu wanaabudu Mungu mmoja