Freestyle kuhusu chochote Jukwaa lichangamke

Kapewa nyumba, mkali Yuko anadunda,
Muulize lizaboni, babawa kweli wa makonda
Kaa ukweni, mashemeji unabonda

Cc @natoombe mushi
Kukaa ukweni ni kubaya,
utaonekana boya,
mwanaume uwe mgumu kama wajakoya,
Usichekecheke kama vile jakaya,
Pia usiwe mwongeaji, yaani domokaya!
 
Fact kabisa yaani,
mwana analeta umajinuni,
TikTok kunamfaa jamani,
aenda akavae gauni,
anengue huku mikono kiunoni,
huyu dogo mpuuzi kweli yaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ