Harmful JF-Expert Member Joined Feb 23, 2025 Posts 5,985 Reaction score 21,212 Jun 14, 2026 #81 secretarybird said: No, mimi ni ndege mdinya, ukija vibaya nakudinya, Yaani natafuna kama panya, haters wakiniona wanakunya. Click to expand... Unachana sana mpaka haters wako wanaumia, Kwenye swagger zao mistari yako wanaibia, angalia wasije nyota wakakuibia ππΎ
secretarybird said: No, mimi ni ndege mdinya, ukija vibaya nakudinya, Yaani natafuna kama panya, haters wakiniona wanakunya. Click to expand... Unachana sana mpaka haters wako wanaumia, Kwenye swagger zao mistari yako wanaibia, angalia wasije nyota wakakuibia ππΎ
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,984 Reaction score 51,055 Jun 14, 2026 #82 Harmful said: Unachana sana mpaka haters wako wanaumia, Kwenye swagger zao mistari yako wanaibia, angalia wasije nyota wakakuibia ππΎ Click to expand... Yaani mi huwa nawaangalia, vile styles zangu wanavyotumia, nyota yangu wanaitembelea, na kujaribu kuiiba pia, ila huruma ninawaonea, maana ili kunifikia, yahitaji kuninyenyekea π₯.
Harmful said: Unachana sana mpaka haters wako wanaumia, Kwenye swagger zao mistari yako wanaibia, angalia wasije nyota wakakuibia ππΎ Click to expand... Yaani mi huwa nawaangalia, vile styles zangu wanavyotumia, nyota yangu wanaitembelea, na kujaribu kuiiba pia, ila huruma ninawaonea, maana ili kunifikia, yahitaji kuninyenyekea π₯.