House4Rent Fremu kubwa sana inapangishwa Mbezi

House4Rent Fremu kubwa sana inapangishwa Mbezi

MrsPablo1

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
1,073
Reaction score
1,941
Fremu kama inavyoonekena ipo mbezi mwisho mitaa luguruni njia panda ya kanisa la KKT . Inafaa kwa biashara mbali mbali kama duka,ofisi,medical laboratory,dispensary,microfinance, nursery and daycare,tuition center, bakery na nyingine nyingi.
ukipenda fremu bei ni laki tano kwa mwezi ina Sqm 125 ndani.
Ukihitaji kuona fremu nicheki hakuna udalali hapa fremu ni yangu
📞: +255 785 335 350
WhatsApp. +255 621 142 409

2A05693F-0865-47ED-8C94-BEED11023CF8.jpeg


E05C2DC7-7B95-475F-A890-3F431A1D7FCA.jpeg


6AA7D8C4-21C9-430A-BFC8-E6C924A621D1.jpeg
 
Dah hii frem nlionaga tangazo lake mwaka jana...hamjapata tu mteja?
 
Wee si dalali mkuu! Hiyo frem hujajenga wewe acha kuongopea watu! Hujui unajulikana, wengine tunakujua kwa ujanja wako wa udalali!
Nashukuru boss pamoja na yote hayo una uhakika gani kama fremu sijajenga mimi?
 
Back
Top Bottom