House4Rent Fremu kubwa sana inapangishwa Mbezi

House4Rent Fremu kubwa sana inapangishwa Mbezi

Bei yangu inaanzia laki tano na ina Sqm 125 ndani, naimalizia vioo pamoja na nje apo
Ungeiweka hii tangu mwanzoni ungepunguza maswali na kejeli ulizozipata...

Hiyo bei kwangu hapo ni parefu. Nakutakia kila la kheri
 
Mbona inaonekana imepiga kazi tayari na ilikuwa banda la mpira,,tena inaonekana mpangaji umemfukuza mda si mrefu
Mpira niliweka mwenyewe wakati najikusanya kumalizia fremu ili isakae tuu . Mpaka sasa naendelea na mpira nikipata Mpangaji nitahamisha mpira .Asante.
 
.

AB3D242A-8AD7-41D7-9D9F-2EE3AE6E1AAD.jpeg
 
Back
Top Bottom