Duh kumbe? Au kuna yale majamaa yanakupiga makonde lakini huyaoni?Dah hii frem nlionaga tangazo lake mwaka jana...hamjapata tu mteja?
Watakua wanapangisha bei ghali ndiyo maana haipati mpangaji, Hembu washushe bei waone kama itachukua wiki.Dah hii frem nlionaga tangazo lake mwaka jana...hamjapata tu mteja?
Hata sijawahi ku negotiate bei na mtu,Watakua wanapangisha bei ghali ndiyo maana haipati mpangaji, Hembu washushe bei waone kama itachukua wiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ukitaja bei mapema kuna ubaya gani. Au unataka mteja ajiingize cha kike mwenyewe?Bei yake inategemea tutakavyo elewana na mteja akishatembelea fremu akaona location yake
Yani nitoke Mabwepande mpaka Mbezi kuangalia fremu nikijiaminisha labda inaweza kuwa 50K. Afu uje unishtukize kwa bei laki 2?Fremu bado mpya sijawahi kuipangisha ,ukishaitembelea tutakaa chini tuzungumze bei boss wangu
Unapangisha bei gani!?Hata sijawahi ku negotiate bei na mtu,
Dah iyo fremu ndo nimemaliza kujenga mwaka huu mwezi wa sita
Unaruhusu nikija kupangisha naigawa gawaFremu bado mpya sijawahi kuipangisha ,ukishaitembelea tutakaa chini tuzungumze bei boss wangu