Ok safi na renti unapokea ya kuanzia miezi mingapi 6 au mwakaBei yangu inaanzia laki tano na ina Sqm 125 ndani, naimalizia vioo pamoja na nje apo
Ungeiweka hii tangu mwanzoni ungepunguza maswali na kejeli ulizozipata...Bei yangu inaanzia laki tano na ina Sqm 125 ndani, naimalizia vioo pamoja na nje apo
Hapana mkuu ni zamani sana..labda mwaka huu januaryHapana sio mwaka jana ni mwaka huu
Mbona inaonekana imepiga kazi tayari na ilikuwa banda la mpira,,tena inaonekana mpangaji umemfukuza mda si mrefuHata sijawahi ku negotiate bei na mtu,
Mpira niliweka mwenyewe wakati najikusanya kumalizia fremu ili isakae tuu . Mpaka sasa naendelea na mpira nikipata Mpangaji nitahamisha mpira .Asante.Mbona inaonekana imepiga kazi tayari na ilikuwa banda la mpira,,tena inaonekana mpangaji umemfukuza mda si mrefu