Mkuu.....
sidhani kama huu uzi ni kwa ajiri yako kama huwezi kuwa na ile simple understanding + common sense!...
*kodi ni 5m kwa mwaka
*kodi + kiemba ni 25m lakin maongezi yapo ( kwa sababu ni frem mbili, unaweza weka biashara mbili tofauti kwa wakati mmoja)
*mpaka sasa muda ulobaki kwenye kodi ni miezi 9 hiv
*so hiyo miezi ikishaisha ataendelea kulipa 5m tu kwa mwaka ..nae akitk kutoka ataweka na kilemba chake atakachoona kinamfaa