- Thread starter
- #61
Mkuu.....Maelezo yako yanakanganya, mara inauzwa milioni 25 mara italipiwa kodi baada ya miezi 10. Hivi unajua maana ya kuuza?
sidhani kama huu uzi ni kwa ajiri yako kama huwezi kuwa na ile simple understanding + common sense!...
*kodi ni 5m kwa mwaka
*kodi + kiemba ni 25m lakin maongezi yapo ( kwa sababu ni frem mbili, unaweza weka biashara mbili tofauti kwa wakati mmoja)
*mpaka sasa muda ulobaki kwenye kodi ni miezi 9 hiv
*so hiyo miezi ikishaisha ataendelea kulipa 5m tu kwa mwaka ..nae akitk kutoka ataweka na kilemba chake atakachoona kinamfaa