French President Macron To Announce: "Europe is at war with Russia" on June

French President Macron To Announce: "Europe is at war with Russia" on June

Hao ni jamii ya watu wanaofikiria kwa hisia na wala si akili.

Ni aina ya watu wanaodhani kwamba masaibu ya mtu mwingine yanaweza kumletea nafuu kwenye fadhaa aliyo nayo.

Si ajabu ajali fulani ikitokea, watu kama hao hushangilia.

Ni mwanadamu asiye na akili timamu tu ndiye anaweza kufurahia vita.

Ndiyo maana hata Russia yenyewe imejitahidi sana kuviepuka, japo NATO inavitafuta kwa juhudi zote.

Kaulimbiu ya NATO: Kama ni kufa, bora tufe wote.
Nimekuona mtu mwenye hekima Kwa comment hii mkuu👉Ni mwanadamu asiye na akili timamu tu ndiye anaweza kufurahia vita.Usingekuwa sahihi zaidi.
 
Rusia kapeleka wanajeshi West Africa ambayo ilikuwa ngome ya France na USA, Mwezi May 2024 Ndege za Rusia zikiwa kwenye mazoezi mabaki ya silaha yalidodondokea pwani ya Carlifonia USA , mara China katuma Maputo, sasa wameona wanakoelekea ni yale yale ya Uingereza kufanya appessement kwa Adolf Hitler, wameona wakikaa kimya kadili muda unavyoenda Putin atakuja kufanya kitu cha ajabu kwa wanachama wa NATO, mara zote Rusia amekuwa akitishia silaha za nyuklia na wakati na nchi za NATO wanazo silaha hizo. Je akitumia nyuklia kupiga mataifa ya NATO ataweza kuilinda Rusia na watu wake ili wasipigwe na nyuklia? Tayari NATO wameshagusa nuclear early warning ya Rusia.
 
Russia ni nyuki wa mashineni, hana kabisa uwezo wa kupambana na Ufaransa au Uingereza kwenye medani ya kivita.

Hapo kwa miaka miwili wameshamfanyia assessment na kugundua madhaifu yake na tayari majibu wanayo kwamba nyuklia ni tishio tu anatumia ili kuogopesha watu na hawezi kuitumia kwani hata China amemuonya vikali dhidi ya matumizi ya nyuklia.

Vyovyote itakavyokuwa lakini ukweli ni kwamba wanaume wameshaamua wanataka vita hivi vimalizike kabla ya mwisho wa mwaka huu ili aliyetaka kudhulumiwa apate haki yake na kwa mazingira haya huenda dikteta Putin akawa wa kwanza kutangulia The Hague, let us wait and see.
Mkuu sidhani kama upo sahihi by 1%. Russia anazo nyuklia zaidi ya 5000. Nchi zote za ulaya zinaweza kupigwa within 15minutes na wote wanatambua hilo.

Shida ya Macron sio Ukraine na maslahi yake Africa yametikiswa na Urusi Sasa anatafuta namnaya kuungwa mkono.

Jeshi la Urusi ni kubwa na linatisha maana war strategies zao hazijawahi kushindwa.

Pili uwezo wa kuzalisha silaha kwa Sasa Russia ana 3times capacity all NATO
 
Rusia kapeleka wanajeshi West Africa ambayo ilikuwa ngome ya France na USA, Mwezi May 2024 Ndege za Rusia zikiwa kwenye mazoezi mabaki ya silaha yalidodondokea pwani ya Carlifonia USA , mara China katuma Maputo, sasa wameona wanakoelekea ni yale yale ya Uingereza kufanya appessement kwa Adolf Hitler, wameona wakikaa kimya kadili muda unavyoenda Putin atakuja kufanya kitu cha ajabu kwa wanachama wa NATO, mara zote Rusia amekuwa akitishia silaha za nyuklia na wakati na nchi za NATO wanazo silaha hizo. Je akitumia nyuklia kupiga mataifa ya NATO ataweza kuilinda Rusia na watu wake ili wasipigwe na nyuklia? Tayari NATO wameshagusa nuclear early warning ya Rusia.
Tusubiri.
 
Mkuu sidhani kama upo sahihi by 1%. Russia anazo nyuklia zaidi ya 5000. Nchi zote za ulaya zinaweza kupigwa within 15minutes na wote wanatambua hilo.

Shida ya Macron sio Ukraine na maslahi yake Africa yametikiswa na Urusi Sasa anatafuta namnaya kuungwa mkono.

Jeshi la Urusi ni kubwa na linatisha maana war strategies zao hazijawahi kushindwa.

Pili uwezo wa kuzalisha silaha kwa Sasa Russia ana 3times capacity all NATO
Ni assessment nzuri,ila tusubiri.Hata hivyo tuendelee kumuomba Mungu vita isitokee,ingawa najua Satan is working hard to gather nation's for war.
 
Boss, Kwanini utoe mbili na mbili ipo? Ukiitoa si ni siku nyingine tayari? Au ni hiyo 666 unaitafuta?
Nadhani siitafuti,kwa satanists 666 ipo,na ni namba muhimu sana.Ngoja waje,maana wanejaa humu JF
 
Jeshi la Urusi ni kubwa na linatisha maana war strategies zao hazijawahi kushindwa.
Siyo kweli..
Urusi walishindwa Afghanistan huko baada ya kupigana vita kwa miaka 10 ...

DID THE USSR LOSE IN AFGHANISTAN?
On Feb. 15, 1989, a column of armored personnel carriers rolled across the Friendship Bridge, the last of a Soviet army that fought a 10-year war in Afghanistan.

After losing more than 13,000 troops in the quagmire, the Soviet Union pulled back, defeated and demoralized....
 
Hilo siyo tangazo jipya! Majeshi ya Ufaransa yapo ndani ya Ukraine muda mrefu! Sema kule wanapigwa vizuri na Russia Forces!
 
Siyo kweli..
Urusi walishindwa Afghanistan huko baada ya kupigana vita kwa miaka 10 ...

DID THE USSR LOSE IN AFGHANISTAN?
On Feb. 15, 1989, a column of armored personnel carriers rolled across the Friendship Bridge, the last of a Soviet army that fought a 10-year war in Afghanistan.

After losing more than 13,000 troops in the quagmire, the Soviet Union pulled back, defeated and demoralized....
America vipi alimshinda Afghanistan 😄
 
Ziumizo ni nyasi (Africans) tumeanza kuchechemea baada ya COVID alafu vita tena.
Ndio hivyo si hatujitambui!! Wakati wa Houth wa Yemen walipoanza kushambulia meli za mizigo red sea,,watu wakaanza kuwapongeza!! Leo bei ya kusafirisha mizigo imepanda, kelele tayari zimeanza!! US anapambana na wahuni hao, ila anaonekani mbabe!!!
 
Hata kuanza kwa hii SMO, watu waliona kama ni utani.

Na ndio hivyo wataona kuanza kwa vita ya 3 ya Dunia kama utani.
 
Back
Top Bottom