French President Macron To Announce: "Europe is at war with Russia" on June

Marcon anataka kuiingiza ulaya kwenye vita kwa kuwa maslahi yake yameguswa hapa Africa. Hawezi kuungwa mkono na nchi kubwa ulaya.

Labda ufaransa waseme wao ndio wapo vitani na russia na sio ulaya wapo vitani na russia
Swala sio kuingiza Ulaya kwenye vita bali swala ni kwamba dikteta Putin aondoe majeshi yake kwenye nchi ya watu. Period.
 
Anapiganaje na Mrusi huyu?! Wakati TOTAL ni mwejezaji mkubwa kwenye gas/mafuta ya Russia? Au Mrusi ametibua uwekezaji wa TOTAL nchini kwake?!
 
Sasa kama hao wana nyuklia nini kimebakia na kutishania nyuklia mantiki yake nini sasa..😛😛
Mimi natamani sana hata kesho walianzishe tu wameyatunza ghalani
Kana kwamba ni mahindi
 
Swali, sasa nani hana nyuklia.!?
Linapokuja suala la nuclear kina tazamwa zaidi ni ukubwa wa eneo litakaloshambuliwa na idadi ya warheads alizo nazo mpinzani wako.Sasa Fanya ulinganifu Kwa hizo inchi za ulaya kama wanaweza kutoboa.
Rais Putin alisema nchi nyingine za ulaya ni ndogo kwahy wanaweza kufutwa ndani ya muda mfupi
 
Linapokuja suala la nuclear kina tazamwa zaidi ni ukubwa wa eneo litakaloshambuliwa na idadi ya warheads alizo nazo mpinzani wako.Sasa Fanya ulinganifu Kwa hizo inchi za ulaya kama wanaweza kutoboa.
Rais Putin alisema nchi nyingine za ulaya ni ndogo kwahy wanaweza kufutwa ndani ya muda mfupi.
It seems you know very little if not nothing about what nuclear is all about.

Russia and China have about 6,200 nukes at their disposal as of 2024 and most of them are at around the 500 kiloton range, but some can be at over 5 megatons.

NATO posseses around the same number of warheads at about the same amount of power.

It could go either way, but slightly leaning towards the win of NATO. Keep in mind that the number of nukes and their power is not all that matters. It would also depend on how many fission, fusion, thermonuclear or neutron bombs there are. So you ought to know about that.
 
Ingawa umeanza Kwa lugha ya kejeli ila ulichoandika bado hauja kosoa hoja yangu.Hapa China hausiki na hii thread ila ni Russia na Ulaya.
Unachotakiwa kufahamu kwanza Russia na USA Hawa pekee ndo global nuclear power hao wengine ni watoto tu lakini pia tambua kwenye suala zima la delivery of those warheads hao jamaa wanazo namna bora na nyingi zaidi kuliko nchi zingine lakini pia tambua Russia ndo ana ongoza kuwa na warheads nyingi kuliko USA, hivyo Russia ana advantage zaidi.
Twende kwenye hoja ya msingi Kwa nchi za ulaya mataifa ambayo yana miliki nuclear ni ufaransa na uingereza tu tena Kwa kiwango kidogo sana sana sawa na salvo moja tu eskanda missile (nuclear)Kwa upande wa Russia.Je hapo nani mtabe zaidi
Kwa taarifa zilizopo Russia pekee nuclear ambazo zipo tyr Kwa matumizi muda wowote ule ni warheads 1700 zikiwemo [500 masafa ya mafupi na 1200 strategic] idadi hiyo bado ni kubwa sana Kwa hayo mataifa mawili ya Ulaya, lakini Russia nuclear bombs ziko very heavy kuliko ya hayo mataifa ya Ulaya kama unabisha tutajie ambalo linazid sartan 1 na 2 au bulava.
Lingine unalotakiwa kujua Russia ni nchi kubwa sana ki geographia Kwa hy ikitokea nuclear exchange kati yake na mataifa ya Ulaya basi mataifa ya Ulaya yatapotea mapema sana kwenye uso wa Dunia
Hapo sijaweka teopedo lakini usisahau Russia anazo hypersonic missile ambazo kufika ulaya ni mwendo wa DK 3_4
 
Mkuuu hiyo Shule ni kubwa sana 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Hicho kibao kimoja ameshindwaje kumpiga Ukraine..? Tupe ushahidi kwamba majeshi ya Ufaransa tayari yalikuwa yameshaingia Ukraine vinginevyo ni porojo zilezile za masjid ubwabwa za jua kuzama kwenye tope.
Hero of Pol...itic...ssss.
 
Huyu jamaa toka nimeona kaowa yule bibi kizee huwa simchukulii serious..
Oya kaoa mwalimu wake, Kuna kitu somewhere there, ila at the end, ata ticha wake alimuona boya, anaacha vitu low km, anataka kuprove that ana akili za kikubwa.
Anyway ni kawaida tu watu wengi tu wangeweza kufanya ivyoo. Sio ajabu sana.
Hata me simchukulii serious, kawaida tu labda tuseme amekuwa mtumwa for that unnecessary passion ya kuoa na kumiliki mshangazi.
 
Hata me simchukulii serious, kawaida tu labda tuseme amekuwa mtumwa for that unnecessary passion.
 
Oya kaoa mwalimu wake, Kuna kitu somewhere there, ila at the end, ata ticha wake alimuona boya, anaacha vitu low km, anataka kuprove that ana akili za kikubwa.
Anyway ni kawaida tu watu wengi tu wangeweza kufanya ivyoo. Sio ajabu sana.
Hata me simchukulii serious, kawaida tu labda tuseme amekuwa mtumwa for that unnecessary passion ya kuoa na kumiliki mshangazi.
Si bora kama mshangazi yule ajuza. Kwetu angeshapelekwa kwa waganga kutibiwa
 
Ingawa umeanza Kwa lugha ya kejeli ila ulichoandika bado hauja kosoa hoja yangu.Hapa China hausiki na hii thread ila ni Russia na Ulaya.
Unachotakiwa kufahamu kwanza Russia na USA Hawa pekee ndo global nuclear power hao wengine ni watoto tu lakini pia tambua kwenye suala zima la delivery of those warheads hao jamaa wanazo namna bora na nyingi zaidi kuliko nchi zingine lakini pia tambua Russia ndo ana ongoza kuwa na warheads nyingi kuliko USA, hivyo Russia ana advantage zaidi.
Twende kwenye hoja ya msingi Kwa nchi za ulaya mataifa ambayo yana miliki nuclear ni ufaransa na uingereza tu tena Kwa kiwango kidogo sana sana sawa na salvo moja tu eskanda missile (nuclear)Kwa upande wa Russia.Je hapo nani mtabe zaidi
Kwa taarifa zilizopo Russia pekee nuclear ambazo zipo tyr Kwa matumizi muda wowote ule ni warheads 1700 zikiwemo [500 masafa ya mafupi na 1200 strategic] idadi hiyo bado ni kubwa sana Kwa hayo mataifa mawili ya Ulaya, lakini Russia nuclear bombs ziko very heavy kuliko ya hayo mataifa ya Ulaya kama unabisha tutajie ambalo linazid sartan 1 na 2 au bulava.
Lingine unalotakiwa kujua Russia ni nchi kubwa sana ki geographia Kwa hy ikitokea nuclear exchange kati yake na mataifa ya Ulaya basi mataifa ya Ulaya yatapotea mapema sana kwenye uso wa Dunia
Hapo sijaweka teopedo lakini usisahau Russia anazo hypersonic missile ambazo kufika ulaya ni mwendo wa DK 3_4
I told you it depends on how many fission, fusion, thermonuclear or neutron bombs there are which literally mean the issue of how many warheads one has does not matter.

Please understand that, when you're talking of Europe, Russia is part of it because your text tends to imply that Russia isn't in Europe.

Lastly understand that, you cannot win a nuclear war just because you've many warheads than your rivals and thinking that way is to be naive.
 
Kuna mtifuano lazima utokee mwaka huu na kuna nchi zinaenda kuchakaa
 
Back
Top Bottom