French President Macron To Announce: "Europe is at war with Russia" on June

Nimekuona mtu mwenye hekima Kwa comment hii mkuuπŸ‘‰Ni mwanadamu asiye na akili timamu tu ndiye anaweza kufurahia vita.Usingekuwa sahihi zaidi.
 
Rusia kapeleka wanajeshi West Africa ambayo ilikuwa ngome ya France na USA, Mwezi May 2024 Ndege za Rusia zikiwa kwenye mazoezi mabaki ya silaha yalidodondokea pwani ya Carlifonia USA , mara China katuma Maputo, sasa wameona wanakoelekea ni yale yale ya Uingereza kufanya appessement kwa Adolf Hitler, wameona wakikaa kimya kadili muda unavyoenda Putin atakuja kufanya kitu cha ajabu kwa wanachama wa NATO, mara zote Rusia amekuwa akitishia silaha za nyuklia na wakati na nchi za NATO wanazo silaha hizo. Je akitumia nyuklia kupiga mataifa ya NATO ataweza kuilinda Rusia na watu wake ili wasipigwe na nyuklia? Tayari NATO wameshagusa nuclear early warning ya Rusia.
 
Mkuu sidhani kama upo sahihi by 1%. Russia anazo nyuklia zaidi ya 5000. Nchi zote za ulaya zinaweza kupigwa within 15minutes na wote wanatambua hilo.

Shida ya Macron sio Ukraine na maslahi yake Africa yametikiswa na Urusi Sasa anatafuta namnaya kuungwa mkono.

Jeshi la Urusi ni kubwa na linatisha maana war strategies zao hazijawahi kushindwa.

Pili uwezo wa kuzalisha silaha kwa Sasa Russia ana 3times capacity all NATO
 
Tusubiri.
 
Ni assessment nzuri,ila tusubiri.Hata hivyo tuendelee kumuomba Mungu vita isitokee,ingawa najua Satan is working hard to gather nation's for war.
 
Boss, Kwanini utoe mbili na mbili ipo? Ukiitoa si ni siku nyingine tayari? Au ni hiyo 666 unaitafuta?
Nadhani siitafuti,kwa satanists 666 ipo,na ni namba muhimu sana.Ngoja waje,maana wanejaa humu JF
 
Jeshi la Urusi ni kubwa na linatisha maana war strategies zao hazijawahi kushindwa.
Siyo kweli..
Urusi walishindwa Afghanistan huko baada ya kupigana vita kwa miaka 10 ...

DID THE USSR LOSE IN AFGHANISTAN?
On Feb. 15, 1989, a column of armored personnel carriers rolled across the Friendship Bridge, the last of a Soviet army that fought a 10-year war in Afghanistan.

After losing more than 13,000 troops in the quagmire, the Soviet Union pulled back, defeated and demoralized....
 
Hilo siyo tangazo jipya! Majeshi ya Ufaransa yapo ndani ya Ukraine muda mrefu! Sema kule wanapigwa vizuri na Russia Forces!
 
America vipi alimshinda Afghanistan πŸ˜„
 
Ziumizo ni nyasi (Africans) tumeanza kuchechemea baada ya COVID alafu vita tena.
Ndio hivyo si hatujitambui!! Wakati wa Houth wa Yemen walipoanza kushambulia meli za mizigo red sea,,watu wakaanza kuwapongeza!! Leo bei ya kusafirisha mizigo imepanda, kelele tayari zimeanza!! US anapambana na wahuni hao, ila anaonekani mbabe!!!
 
Hata kuanza kwa hii SMO, watu waliona kama ni utani.

Na ndio hivyo wataona kuanza kwa vita ya 3 ya Dunia kama utani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…