French President Macron To Announce: "Europe is at war with Russia" on June

Ufaransa ana hasira na Urusi kwa sababu Urusi anatishia maslahi ya Wafaransa katika Francophone Africa.

Nchi zote ambazo Ufaransa alizisainisha mikataba ya ajabu kabla ya kuzipa uhuru siku hizi zinafanya mapinduzi na kukimbilia kwa Mrusi kutafuta ulinzi.

Sasa bila kuendelea kunyonya makoloni yake ya zamani Mfaransa hamna kitu. Ndiyo maana sasa hivi yuko tayari kumobilize nguvu za Ulaya na ikibidi NATO kupambana na Mrusi!
 
Huyu anataka kuwaponza wenzake kwakuwa katimuliwa Africa ya kati.
 
Ndio hivyo si hatujitambui!! Wakati wa Houth wa Yemen walipoanza kushambulia meli za mizigo red sea,,watu wakaanza kuwapongeza!! Leo bei ya kusafirisha mizigo imepanda, kelele tayari zimeanza!! US anapambana na wahuni hao, ila anaonekani mbabe!!!
Uhuni wao n upi?
 
The Ukrainian president, Zelensy, whose legal term of Office is expired since May 21,
Huyu nyang'au SIO Rais wa Ukraine tena sasa ana attend hizo issue yeye km nani dalali wa Vita ya Russia?
 
Huyu anataka kuwaponza wenzake kwakuwa katimuliwa Africa ya kati.
Nataka zipigwe mpaka zifike HUKU tuanze kuchagua upande wa kuwasaidia, maana wakibondana wakapondana HUKO Sisi huku ndio tutakua watoaji wa misaada haya wapondane tuwauzie ngano, MAHINDI na mchele maana Vita bila Kula ni UONGO
 

Macron hana jipya, hana akili, French soldiers wako kibao Ukraine siku nyingi na wameuawa vibaya sana na Russia, NATO soldiers & mecrenaries wako kibao Ukraine na bado Ukraine inapondwa vibaya, sasa kipi kipya cha kutangaza, na siku Macron akitangaza, atapigwa moja kwa moja kwa makombora toka Russia na mji wa Paris utakuwa mwekundu, na Macron aache akili za kishoga, atapigwa ashangae maana Russia kuipiga French ni kama mtoto mdogo anapigwa kibao kimoja tu.
 
Hicho kibao kimoja ameshindwaje kumpiga Ukraine..? Tupe ushahidi kwamba majeshi ya Ufaransa tayari yalikuwa yameshaingia Ukraine vinginevyo ni porojo zilezile za masjid ubwabwa za jua kuzama kwenye tope.
 
Si kweli kwanza wamezoea vita na wadogo wachambuzi wa kijeshi wamesema ndio maana walimfunza Ukraine mbinu zao lakini bado, wanajeshi wa Ukraine walikuja kuponda mbinu zao. Hivi ni vitisho tu anacheza na saikojia tu kumbuka wafarasi wengi tu wamekufa kwenye hii vita.
 
Mkuu sidhani kama upo sahihi by 1%. Russia anazo nyuklia zaidi ya 5000. Nchi zote za ulaya zinaweza kupigwa within 15minutes na wote wanatambua hilo.
Aisee kwamba aaze kutumia ya kwanza mpaka ya 5000 wengine wanamwangalia tu?
Huyu putin mlisema atachukua Kiev in 3 dys leo ni tunaelekea mwaka wa 3
 
Tunajua Ufaransa wana advices Ukraine, lakini walikuwa hawajatangaza vita rasmi.Sasa watatangaza vita collectively as Europe.
 
Urusi Ni lifude likubwa saana. Ufaranza mwenyewe hawezi kujitegemea kama yeye, ndio utaona makambi ya jeshi ufaransa, unerumani Na Japan Ni makoloni ya US
 
Tunajua mkuu,ila there has never been a formal announcement.This announcement now confirms what is ahead of us pretty soon:WWIII.
 
Kujumlisha a simple whole numbers na yenyewe inahitaji uwe mtaalamu wa Namba? Lol!
Kwa hiyo, tayari we ni mtaalamu wa Namba baada ya kujumlisha na kupata 666
Wewe mbona ulikuwa hujui.Tuambie basi kama unajua significance ya tarehe aliyotoa Macron ya kutangaza vita na Urusi.Tunasubiri.
 
Aisee kwamba aaze kutumia ya kwanza mpaka ya 5000 wengine wanamwangalia tu?
Huyu putin mlisema atachukua Kiev in 3 dys leo ni tunaelekea mwaka wa 3
Ndo akili za pro russia hizo kwamba russia inaweza ikateketeza NATO member wote mara moja ndani ya dakika kadhaa tu kwa kutumia nyuklia ndivyo wanavyoongopeana. Huyo russia anasaidiwa na n.korea, iran na china baadhi ya silaha ila utawakuta wanabwabwaja na kuliaalia humu ukrane anasaidiwa anasadiwa 😀 😀
 
Hivi wewe
Hicho kibao kimoja ameshindwaje kumpiga Ukraine..? Tupe ushahidi kwamba majeshi ya Ufaransa tayari yalikuwa yameshaingia Ukraine vinginevyo ni porojo zilezile za masjid ubwabwa za jua kuzama kwenye tope.
Imeloa Unakuwaga na akili za namna gani? Ukraine kwa sasa hamna jeshi. 80% ya wanapigana ni mamluki toka mataifa mbalimbali.
Wiki mbili za mwanzo baada ya kuanza kwa SMO jeshi la ukraini lilikuwa limeshabomolewa kwa kiasi kikubwa. Ndio west na NATO wakaanza kusombelea mizigo ya silaha.
Kwa sasa jeshi la ukraine kwa maana ya hao mamluki hawana tena ile ari ya kuendelea kupigana. Wanalazimishwa tu.

2. Si nchi zote za ulaya zilizopo kwenye umoja wa Nato wapo tayari kuingia kwenye mzozo utakaosababisha vita na Russia. Ujerumani hawapo tayari. Uturuki mnawajua vizuri, ni mandumilakuwili. Hapo viherehere ni France na Uingereza.
Kifupi ulaya haipo tayari kupigana na vita na russia. Maana madhara yake ni makubwa mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…