Labda mechi imeishia half time naona wa kutujuza wako kimyaUpdate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mechi imeishia half time naona wa kutujuza wako kimyaUpdate
Mleta uzi tunaomba msaada wa kutujurisha matokeo ambao hatujabahatika kuona uwanjani
Shukrani sana kwa kutujuza90' Mpira umeeshia kwa kutoka sare ya bila kufungana. Hata hivyo tunaomba samahani kwa kuchelewa kuleta Update kwa matatizo ya ufundi
Simba SC 0-0 Nyasa Big Bullets FC
Kifo cha mende,chaliiiiiKOSI PANA ndembendembe...halijojo...urojooooo
Mkuu mbona umeandika kwa hasira sana hahahahahahahahaha ndo mpira huoAsikimbilie kuandika tuu..Matokeo nimetoa zaidi na zaidi rejea nyuma.
KOSI PANA ndembendembe...halijojo...urojooooo
Mkuu mbona umeandika kwa hasira sana hahahahahahahahaha ndo mpira huo