Friendly Match: Simba Sports Club kupapatuana na Big Bullets FC Uwanja wa Taifa, Dar es salaam

Friendly Match: Simba Sports Club kupapatuana na Big Bullets FC Uwanja wa Taifa, Dar es salaam

90' mchezo wa kirafiki kati ya Simba SC dhidi ya Nyasa Big Bullets zimekamilika kwa sare ya kutofungana.

Timu zote zilifanya mashambulizi kwa zamu ambapo Nyasa Big Bullets walijaribu shambulizi kali kunako dakika ya 04' kwa mchezaji wake kupiga kichwa ambacho kilitakwa na golikipa Deo Munish

Simba walijibu mashambulizi ambapo katika 35 nusuru Mshambuliaji Mohamed Rashid aandike bao baada kupiga shuti ambalo liliokolewa na golikipa wa Big Bullets

Simba SC 0-0 Nyasa Big Bullets FC
 
90' Mpira umeeshia kwa kutoka sare ya bila kufungana. Hata hivyo tunaomba radhi kwa kuchelewa kuleta Updates kwa matatizo ya ufundi

Simba SC 0-0 Nyasa Big Bullets FC
Mleta uzi tunaomba msaada wa kutujurisha matokeo ambao hatujabahatika kuona uwanjani
 
Asante Big bullets kwa kuja kupasha na mabingwa wa Tz... Nyie na sisi wote niwa kimataifa.
 
Labda mechi imeishia half time naona wa kutujuza wako kimya
Ni kweli ambapo tunaomba radhi kwa matatizo ya ufundi imesababisha kutoleta kinachojiri kwa wakati

FT: Simba 0-0 Big Bullets FC
 
Rashid Juma,
mchezaji anayenifurahisha sana akiwa uwanjani.
Kama ataongeza bidii ya mazoezi, atakuja kutisha muda sio mrefu.
Go on Rashidi.
 
Falsafa ya kikosi kipana nyie Vyura hamjailewa..Kwa maana kuwa Simba hata isiwe na wachezaji wa kikosi cha kwanza wote lakini ina uwezo wa kucheza mechi bila wao tengemeo.

Ama kudroo na Big Bullets ni katika sehemu ya soka..Kushinda, kufungwa au Kudroo
KOSI PANA ndembendembe...halijojo...urojooooo
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hakuna hasira hapo mkuu..ulitaka nisikupe marejeo? Kumbuka tumedroo na mabingwa wa Malawi ambao wao nchi yao wametuzidi Tanzania katika viwango wa FIFA

Heri hayo kuliko kutoka sare na 1-1 na Reha FC uwanja wa Uhuru [emoji3][emoji3]
Mkuu mbona umeandika kwa hasira sana hahahahahahahahaha ndo mpira huo
 
Reha?Mkuu ni timu ya mpira wa miguu?Sio kikundi cha taarabu kweli?Walitoka sare na nani?
Ndio sababu nyani hana kioo.Umetoka sare na kitimu sijui kinaitwa Reha hushangai unashangaa Simba kutoka sare na mabingwa wa Malawi ambao kwenye ranking ya FIFA wapo juu ya Tanzania. Uwendawazimu haswa.
 
Kifo cha mende,chaliiiii
Mkuu, hangaika na Mwenyekiti Mtarajiwa Kwanza..Uchague kati ya Kanjibai ama Mzalendo, naona kampeni zimeanza. [emoji3][emoji3]
IMG_20181117_161411_050.jpeg
 
Jamaa kamiss kupigiwa magoti.Huyo mwenye jina la kike kutoka Kenya kama jina la baba yake afanye mazoezi ya kupiga magoti.Huenda jamaa akaridhika na kuchukua fomu jumatatu.
 
Back
Top Bottom