Bora nimekukutaMondray
Hahahahahaa! Bora hupajui mumy njia zake zina miba hatari hata sikushauri uende utajichoma burePm sipajui.
Amina! Tuko pamoja kama sahani na kawa.Amen. Ubarikiwe pia kwa kila jambo maishani.
Amina! Tuko pamoja kama sahani na kawa.
Achana nao kwanza posho zenyewe za wasiwasi.Au kama mapacha wa utafiti,siwatag wasijeleta fujo zao huku.
Achana nao kwanza posho zenyewe za wasiwasi.
Hata majina yao nimeshayasahau
hahahaha nini tena umekuta wapi? hahahaahBora nimekukuta
Nikawa nawaza nitakutag vipi na mimi kutag siwezi, kumbe malaika wa bahati akawa upande wangu....nikakukutahahahaha nini tena umekuta wapi? hahahaah
hahaha ngoja na mie nikutaje hapa:Nikawa nawaza nitakutag vipi na mimi kutag siwezi, kumbe malaika wa bahati akawa upande wangu....nikakukuta
Hello guys mko poa..
Habar za mihangaiko ya siku nzima
Ok, kama kichwa cha mada kilivyo jieleza. Nadhan wengi humu kunawatu mnawapenda haijarishi ni kimapenzi au kiurafiki so deal lipo hivi...
Mtag boy or girl umpendaye then muombe urafiki hapa. Naanza mm
Numbisa moyo wangu unataka uwe rafiki yangu tafadhari
Na mie ni jikeCastr si dume hilo Mbona mnanichanganya chikila
[emoji76] [emoji76] [emoji76] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]hahaha ngoja na mie nikutaje hapa:
Nampenda Castr hahahhahahah