Friends Connect and love connect. Mtag umpendaye

Friends Connect and love connect. Mtag umpendaye

Nikawa nawaza nitakutag vipi na mimi kutag siwezi, kumbe malaika wa bahati akawa upande wangu....nikakukuta
hahaha ngoja na mie nikutaje hapa:

Hello guys mko poa..
Habar za mihangaiko ya siku nzima
Ok, kama kichwa cha mada kilivyo jieleza. Nadhan wengi humu kunawatu mnawapenda haijarishi ni kimapenzi au kiurafiki so deal lipo hivi...
Mtag boy or girl umpendaye then muombe urafiki hapa. Naanza mm

Numbisa moyo wangu unataka uwe rafiki yangu tafadhari

Nampenda Castr hahahhahahah
 
Castr si dume hilo Mbona mnanichanganya chikila
Wewe utakua unafikiri CHIKIRA MTABARI ni me.
Kwahiyo mkuu ukaona ushawapata wanaojihusisha na ushoga?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23]
 
Back
Top Bottom