Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Tuone kweli ile kauli eti kwa NKAPA hatoki NTU, inawezekana?, kwani jana nilimsikia shabiki wa simba, eti mpira wa Afrika ni fitina tu, kwenye uwanja wa nyumbani!!ukishindwa kuzitumia wewe ni mjinga!!soka la bongo bado sana!!
CrapHuu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.
Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
[emoji1787][emoji1787] japo na Mimi nilikua friend of Gendarmerie ila umenichekesha sanaHuyu mwanzisha uzi anatamani kusema simba walibebwa, lakini inagoma yani!
Huu uzi baada ya matokeo lazima autelekeze!
Wengi wanaoleta nyuzi zinazoiponda Simba, hugeuka kuwa mwiba kwa wanaozileta!
🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787] japo na Mimi nilikua friend of Gendarmerie ila umenichekesha sana
Kabisa wenzetu hua ni waoga sana kabla ya match hua wanachungulia Uzi wao kama wanashudia vita ya mauaji ya kimbali pale Kigali ila wakishinda sasa fujo utazani wana wa Israeli wameivuka bahati ya shamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ndio jf Mkuu. Kabla ya mechi wote uzi waliuona kama sumu. Wameshinda basi maneno kama yoote yaani full mipasho. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#Wajifunze kujiamini. [emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahaaa. Huwa wanafanya tunawacheka kwa dharaaau. 😅Kabisa wenzetu hua ni waoga sana kabla ya match hua wanachungulia Uzi wao kama wanashudia vita ya mauaji ya kimbali pale Kigali ila wakishinda sasa fujo utazani wana wa Israeli wameivuka bahati ya shamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kucheza kimataifa siyo Sawa na kucheza na Geita gold hapa bongo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ndio jf Mkuu. Kabla ya mechi wote uzi waliuona kama sumu. Wameshinda basi maneno kama yoote yaani full mipasho. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#Wajifunze kujiamini. [emoji28][emoji28][emoji28]
Kama haujawahi kushiriki mechi za kimataifa huwezi kuelewa.Kabisa wenzetu hua ni waoga sana kabla ya match hua wanachungulia Uzi wao kama wanashudia vita ya mauaji ya kimbali pale Kigali ila wakishinda sasa fujo utazani wana wa Israeli wameivuka bahati ya shamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣 Hamna aliyekataa mbona.Kucheza kimataifa siyo Sawa na kucheza na Geita gold hapa bongo.
Siyo timu za Zenji hizo kwamba utambe kabla ya matokeo,Akiba ya maneno inatakiwa kimataifa.Hahahahaaa. Huwa wanafanya tunawacheka kwa dharaaau. [emoji28]
Na saa hii tukiangalia wanavyopost tunasema Hihihihiiiiiii.
Haya bana Mkuu ngoja tuwache leo mji ujae mate. [emoji1787]
Hahahaaa. Kuumbe.Siyo timu za Zenji hizo kwamba utambe kabla ya matokeo,Akiba ya maneno inatakiwa kimataifa.
Tunawacheka sisi Kwa dharau munao iombea njaa Simba halafu inapata matokeo.
Hahaaa!!hongereni sana mkuuUpo Wapi? Umeona Nini Kwa Mkapa
Hivi hii mechi imeishaje pale jana, niliwahi kulala maana ilichezwa saa 4 usiku na leo ni tarehe 4 na pia ni chungu cha 4 na ninapanga kuamka saa 4.Huu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.
Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
HAKUNA timu ya kipuuzi kama hawa vyura wa jangwani linapokuja suala la kucheza kimataifa, kila mwaka wao ni wasindikizaji tu. Ifike mahala serikali iwafungie hawa viluilui kutotoka nje ya nchi kuwakilisha nchi.
Aisee mlifurukutwa kweli kwelimHuu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.
Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
🤣🤣🤣🤣
Hii ndio jf Mkuu. Kabla ya mechi wote uzi waliuona kama sumu. Wameshinda basi maneno kama yoote yaani full mipasho. 🤣🤣🤣🤣
#Wajifunze kujiamini. 😅😅😅
Kabisa wenzetu hua ni waoga sana kabla ya match hua wanachungulia Uzi wao kama wanashudia vita ya mauaji ya kimbali pale Kigali ila wakishinda sasa fujo utazani wana wa Israeli wameivuka bahati ya shamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]