Friends of Gendamarie Fc

Friends of Gendamarie Fc

Tuone kweli ile kauli eti kwa NKAPA hatoki NTU, inawezekana?, kwani jana nilimsikia shabiki wa simba, eti mpira wa Afrika ni fitina tu, kwenye uwanja wa nyumbani!!ukishindwa kuzitumia wewe ni mjinga!!soka la bongo bado sana!!

Mchawi mweupe nini maoni yako baada ya Simba kuondoka na pwenti tatu
 
Huyu mwanzisha uzi anatamani kusema simba walibebwa, lakini inagoma yani!
Huu uzi baada ya matokeo lazima autelekeze!
Wengi wanaoleta nyuzi zinazoiponda Simba, hugeuka kuwa mwiba kwa wanaozileta!
[emoji1787][emoji1787] japo na Mimi nilikua friend of Gendarmerie ila umenichekesha sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii ndio jf Mkuu. Kabla ya mechi wote uzi waliuona kama sumu. Wameshinda basi maneno kama yoote yaani full mipasho. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#Wajifunze kujiamini. [emoji28][emoji28][emoji28]
Kabisa wenzetu hua ni waoga sana kabla ya match hua wanachungulia Uzi wao kama wanashudia vita ya mauaji ya kimbali pale Kigali ila wakishinda sasa fujo utazani wana wa Israeli wameivuka bahati ya shamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahaaa. Huwa wanafanya tunawacheka kwa dharaaau. 😅

Na saa hii tukiangalia wanavyopost tunasema Hihihihiiiiiii.

Haya bana Mkuu ngoja tuwache leo mji ujae mate. 🤣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii ndio jf Mkuu. Kabla ya mechi wote uzi waliuona kama sumu. Wameshinda basi maneno kama yoote yaani full mipasho. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

#Wajifunze kujiamini. [emoji28][emoji28][emoji28]
Kucheza kimataifa siyo Sawa na kucheza na Geita gold hapa bongo.
 
Kabisa wenzetu hua ni waoga sana kabla ya match hua wanachungulia Uzi wao kama wanashudia vita ya mauaji ya kimbali pale Kigali ila wakishinda sasa fujo utazani wana wa Israeli wameivuka bahati ya shamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama haujawahi kushiriki mechi za kimataifa huwezi kuelewa.
 
Kucheza kimataifa siyo Sawa na kucheza na Geita gold hapa bongo.
🤣🤣 Hamna aliyekataa mbona.

Tunachoshangaa ni hii nguvu mmekuja nayo after match yaani wote mnaona mleta uzi hakuwa sahihi nyie mliokuwa na usahihi mlikuwa wapi kabla. 🤣
 
Hahahahaaa. Huwa wanafanya tunawacheka kwa dharaaau. [emoji28]

Na saa hii tukiangalia wanavyopost tunasema Hihihihiiiiiii.

Haya bana Mkuu ngoja tuwache leo mji ujae mate. [emoji1787]
Siyo timu za Zenji hizo kwamba utambe kabla ya matokeo,Akiba ya maneno inatakiwa kimataifa.

Tunawacheka sisi Kwa dharau munao iombea njaa Simba halafu inapata matokeo.
 
Hahahaaa. Kuumbe.

Hivyo wenzio walioandika kabla walijua munacheza na timu ya Zenji? Teh teh.
 
Huu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.

Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
Hivi hii mechi imeishaje pale jana, niliwahi kulala maana ilichezwa saa 4 usiku na leo ni tarehe 4 na pia ni chungu cha 4 na ninapanga kuamka saa 4.
 
Huu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.

Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
Aisee mlifurukutwa kweli kwelim
 
🤣🤣🤣🤣

Hii ndio jf Mkuu. Kabla ya mechi wote uzi waliuona kama sumu. Wameshinda basi maneno kama yoote yaani full mipasho. 🤣🤣🤣🤣

#Wajifunze kujiamini. 😅😅😅

Kabisa wenzetu hua ni waoga sana kabla ya match hua wanachungulia Uzi wao kama wanashudia vita ya mauaji ya kimbali pale Kigali ila wakishinda sasa fujo utazani wana wa Israeli wameivuka bahati ya shamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapa munajifariji tu lakini sisi hatujawahi kuogopa na ndiyomana hatujawahi kuacha Slogan yetu ya 'KWA MKAPA HATOKI MTU'.

Mbona tulikuwa tunatamba tu kila siku kuhusu kumla USGN
 
Back
Top Bottom