OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Na nyie baada ya ushindi mmekimbia,unachungulia kama mnaaga mwiliπ€£π€£π€£π€£
Hii ndio jf Mkuu. Kabla ya mechi wote uzi waliuona kama sumu. Wameshinda basi maneno kama yoote yaani full mipasho. π€£π€£π€£π€£
#Wajifunze kujiamini. π π π
π π πNa nyie baada ya ushindi mmekimbia,unachungulia kama mnaaga mwili
Kumbe na wewe kolo ila sawa tu kop [emoji1787][emoji1787]Hapa munajifariji tu lakini sisi hatujawahi kuogopa na ndiyomana hatujawahi kuacha Slogan yetu ya 'KWA MKAPA HATOKI MTU'.
Mbona tulikuwa tunatamba tu kila siku kuhusu kumla USGN
Kumbee waliandika na Uliona,Meanz Wana jiamini na ndo Maana waliandika kabla.Hahahaaa. Kuumbe.
Hivyo wenzio walioandika kabla walijua munacheza na timu ya Zenji? Teh teh.
Kwani ametoka?Tuone kweli ile kauli eti kwa NKAPA hatoki NTU, inawezekana?, kwani jana nilimsikia shabiki wa simba, eti mpira wa Afrika ni fitina tu, kwenye uwanja wa nyumbani!!ukishindwa kuzitumia wewe ni mjinga!!soka la bongo bado sana!!
Yanga walitamba kabla ya game mara return of the champion ila mwisho wa siku rivers utd wakafanya yaoHahahaaa. Kuumbe.
Hivyo wenzio walioandika kabla walijua munacheza na timu ya Zenji? Teh teh.
Nyie kuongoza ligi mipasho kibao, halafu sisi tumeingia robo fainal ya CAF mnataka tukae kimya kweli, mara ya mwisho nyie makundi ni 1998 na milipigwa sita. Acha tuvimbeeππ€£π€£π€£π€£
Hii ndio jf Mkuu. Kabla ya mechi wote uzi waliuona kama sumu. Wameshinda basi maneno kama yoote yaani full mipasho. π€£π€£π€£π€£
#Wajifunze kujiamini. π π π
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Huu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.
Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
Nyie mashoga mmetiwa mimba dadeki zenu mmekojolewa hivyoooooooooo 4Huu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.
Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.