NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Uzu wa kichwawi huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakaa kimya wenyeweUzu wa kichwawi huu.
UPo wapi we kiaziHuu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.
Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
Kweli mkuu wamepoa.Watakaa kimya wenyewe
Upo Wapi? Umeona Nini Kwa MkapaTuone kweli ile kauli eti kwa NKAPA hatoki NTU, inawezekana?, kwani jana nilimsikia shabiki wa simba, eti mpira wa Afrika ni fitina tu, kwenye uwanja wa nyumbani!!ukishindwa kuzitumia wewe ni mjinga!!soka la bongo bado sana!!
Haa Unachekea Chooni Sasa HiviMnatoka for sure
Waende Kusindikiza Wageni Wao HukoKweli mkuu wamepoa.
Analiwa na kiepeUPo wapi we kiazi
Kwel b mkubwaHuu ni uzi wetu sisi wafurukutwa na wakereketwa wa timu ya ushindi ya US Gendamarie ambayo wiki mbili zijazo itakuja Tanzania kuzoa alama zote 3.
Kauli mbiu, Simba hatofuzu kuelekea robo fainali.
Mabwege haoVipi Mashoga wa Gendamarie munajisikiaje huko muliko?